Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Mpira wa Ngorongoro sio mbaya sana, wana mpira mzuri sana.. Kocha akiwapanga vizuri wanatoboa.
1. Hakuna siku ambayo possesion imekuwa below 50%
2. Pass accuracy siku zote imekuwa above 50%
3. Wana talent za kutisha kama Kameta (Duchu) Laurent, Sopu, Kelvin, Vonatus Dismas (timu yake ya wakubwa inacheza europa league), Ally Msengi, etc.
Wanacho hitaji ni kuongeza ushirikiano na akili ya maamuzi.