Ngorongoro wakiifunga Morocco leo, wanatinga robo fainali

Ngorongoro wakiifunga Morocco leo, wanatinga robo fainali

Hakuna kocha hapo, madogo wanajiongeza tuu na uzoefu wao wa kitaa.

Kocha hana elimu ya mpira morden..

Hizi timu za vijana zinahitaji kocha anaye toa elimu ya mpira na sio mhamasishaji.
Hizi takwimu / data zinataka kusema kitu fulani kuhusu timu ya U20 ya Tanzania, chenga tunawala sana wapinzani wetu pamoja na gonga nyingi za pasi.

Swali kubwa kwanini ushindi unatupotea !
 
Hizi takwimu / data zinataka kusema kitu fulani kuhusu timu ya U20 ya Tanzania, chenga tunawala sana wapinzani wetu pamoja na gonga nyingi za pasi za diagonal na formation za diamond shape kumiliki mpira.

Swali kubwa kwanini ushindi unatupotea !
Sasa kama unamiliki mpira kwenye nusu yako utafungaje goli?
Key point ni uwezo wakufika kwenye POMO...position of maximum opportunity!!! Maeneo ambayo magoli yanatengenezwa na kufungwa
 
Hakuna kocha hapo, madogo wanajiongeza tuu na uzoefu wao wa kitaa.

Kocha hana elimu ya mpira morden..

Hizi timu za vijana zinahitaji kocha anaye toa elimu ya mpira na sio mhamasishaji.
Kwa hiyo ni kweli kuwa sie bado tunafundisha mpira kwa kucheza open space kama alibyosema yule mujamaa?

Sasa modern football ndio ikoje?
 
QF: Inogile
20210223_001336.jpeg
 
Jinsi ya kucheza mpira vs Jinsi ya kushinda.
Kwa hiyo ni kweli kuwa sie bado tunafundisha mpira kwa kucheza open space kama alibyosema yule mujamaa?

Sasa modern football ndio ikoje?
 
Ovyo kabisa. Halafu kuna jitu litailaumu serikali.
Sasa mbona hilo liko wazi kabisa! Ccm inahusika, serikali ya ccm nayo inahusika! Haiwezekani karibia miaka 60 sasa tangu tuwe huru bado hatuna mafanikio ya maana katika michezo ukilinganisha na Nchi nyingine,

Julio anahusika kwa sababu aliokotwa tu jalalani kama Prof Kabudi na kupewa timu, TFF wanahusika kwa kupenda kwao mteremko na kumpa timu mtoa hamasa badala ya Kocha mwenye sifa!

Yaani uwaache makocha kama Zubery Katwila au Bakary Shime, halafu umchukue Julio!!! Kwa CV gani aliyo nayo hasa katika mafanikio ya timu ya vijana?
 
Back
Top Bottom