Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
- Thread starter
- #61
Hakuna kocha hapo, madogo wanajiongeza tuu na uzoefu wao wa kitaa.
Kocha hana elimu ya mpira morden..
Hizi timu za vijana zinahitaji kocha anaye toa elimu ya mpira na sio mhamasishaji.
Kocha hana elimu ya mpira morden..
Hizi timu za vijana zinahitaji kocha anaye toa elimu ya mpira na sio mhamasishaji.
Hizi takwimu / data zinataka kusema kitu fulani kuhusu timu ya U20 ya Tanzania, chenga tunawala sana wapinzani wetu pamoja na gonga nyingi za pasi.
Swali kubwa kwanini ushindi unatupotea !