Mwalimu hajawapa muunganiko mzuri uwanjani[emoji1][emoji1][emoji1] wanamzuka wa kwenda ulaya, talent zipo za kutosha..
Unacho kisema ni kweli kwa sababu wangekua wanampa pasi Kelvin John ambaye anaonekana kuzurura tuu pale mbele bila mpira saizi wangekua wamesha qualify kitambo.
Team work na preority ndio shida ya hawa watoto.
Mbona karibu wote wanacheza ligi kuu ?Tatizo ni mfumo wa soka Tanzania, hawa wangekuwa tayari wanachezea klabu za ligi kuu ya Tanzania, mapungufu haya hayangekuwepo. Tunawachelewesha sana kuwaita "madogo" wakati walitakiwa wameshacheza mechi ktk ligi kuu yetu zaidi ya michezo 60 .
Tufumue mawazo mgando na kuwaamini wawechezee Namungo, Azam, Simba, Kagera, Coastal Union, Ruvu katika mechi za ligi kuu hata wakiwa na miaka 16, 17 na wakifika miaka 19 na 20 wanakuwa wachezaji hatari tajwa siyo ndani ya Tanzania tu bali hata Afrika na Ulaya.
Haya madudu yote ya timu zetu za Taifq kuwa kichwa cha mwendawazimu, yanasababishwa na CCM! Wameiba viwanja vyetu mpira wa miguu, hawana sera nzuri ya kukuza vipaji vya watoto zaidi tu ya kuwalazimisha kusoma elimu ya kukaririshwa mpaka kidato cha nne!22 February 2021
Stade Olympique
Dakika 4'
Adhabu ya peneti kuelekea goli la Tanzania. GOAL !
Tanzanie 0 - Maroc 1 (pen)
c.c tabutupu
Hao watoto karibu wote wanacheza ligi kuu hapa Tanzania.Umesema kweli kabisa.. vilabu vianze kusajili u20, na wapewe nafasi..
Pia vilabu havijui tuu kuwa u17 ni biashara nzuri sana kwa sababu akinunuliwa kuna mgao wa timu iliyo mlea kabla ya miaka 18, mgao huo huodelea miaka yote ya mchezaji.
Imagine kama simba ingekua imemsajili samatta toka akiwa 18, kwa sheria za fifa wangepiga mpunga hadi leo.
Watu wanaangalia magoli yaliko😆😆😆 hiyo possession itawapeleka wapi sasa🐈Dakika 26'
Tanzania 0 - 3 Morocco
Possession 68% Morocco 32%
Safi sana data zako ziko vizuri, tatizo ni nini wachezaji nyota Azam, Namungo, Yanga, Simba n.k wanatoka Ghana, Congo, Burundi, Zimbabwe, Uganda ?Hao watoto karibu wote wanacheza ligi kuu hapa Tanzania.
Wengine wanacheza ligi daraja la kwanza.
Sijajua mnataka wacheze simba na Yanga ndiyo waonekane wanacheza ligi kuu.
1 Daniel Mgore ni golikipa namba moja wa Biashara United ya Mara.
2.David kameta amecheza Ligi kuu Lipuli na Simba.
3. Abdul Selemani Sopu anacheza Ndanda Fc ligi daraja la kwanza.
4. Rajab Athuman anacheza Gwambina Fc ligi kuu.
Yule beki namba tatu Paschal anacheza KMC sema hapati namba kwa sababu ya uwepo wa Ramadhani Ally Oviedo.
5.Tepsy Evan's anacheza Ihefu Fc ligi kuu.
Hao ni baadhi tu ya wanacheza timu za ligi kuu.
Hizo timu zinahitaji wachezaji wanaoshindana kwa sababu wachezaji wetu wengi hawana ndoto binafsi za kufika popote ndiyo maana hawajitumi uwanjani.Safi sana data zako ziko vizuri, tatizo ni nini wachezaji nyota Azam, Namungo, Yanga, Simba n.k wanatoka Ghana, Congo, Burundi, Zimbabwe, Uganda ?