Super coach Julio yupo vizuri na technical director Mirambo wa TFF wamejitahidi, tujiulize vipaji kwanini haviibuki ktk ngazi ya klabu zetu na tunakodisha toka mataifa mengine ?Lakini tuseme ukweli timu ya Ngorongoro heroes haina kocha.
Hizo timu zinahitaji wachezaji wanaoshindana kwa sababu wachezaji wetu wengi hawana ndoto binafsi za kufika popote ndiyo maana hawajitumi uwanjani.
Lakini tuseme ukweli timu ya Ngorongoro heroes haina kocha.
Jinsi inavyocheza unaona wazi timu haijaunganishwa vizuri kiuchezaji siyo ubora wa wachezaji.
we jamaa nasoma maneno yako nacheka sana nkiwaangalia hawa ndugu zetu hawaelewi hata wanataka nini wanajiendeleaDakika 80'
Tanzanie 0 - 3 Maroc
Ngorongoro heroes wameamua kuonesha vipaji binafsi, badala ya kucheza kitimu pengine ni nafasi ya kujinadi ktk soka la usajili kimataifa
Hizi takwimu / data zinataka kusema kitu fulani kuhusu timu ya U20 ya Tanzania, chenga tunawala sana wapinzani wetu pamoja na gonga nyingi za pasi za diagonal na formation za diamond shape kumiliki mpira.