Ngorongoro wakiifunga Morocco leo, wanatinga robo fainali

Ngorongoro wakiifunga Morocco leo, wanatinga robo fainali

Lakini tuseme ukweli timu ya Ngorongoro heroes haina kocha.
Super coach Julio yupo vizuri na technical director Mirambo wa TFF wamejitahidi, tujiulize vipaji kwanini haviibuki ktk ngazi ya klabu zetu na tunakodisha toka mataifa mengine ?

Karibu tunarudi tena uwanjani hapa Mauritania kipindi cha pili lala salama cha ngwe ya mwisho ya dakika 45 kati ya Tanzanie na Maroc.
 
Kipindi cha pili kimeanza kwako PTER, na watazamaji nyumbani na diaspora

Dakika 47'

Tanzania 0 - 3 Morocco


 
Dakika 48'

Super coach Julio anafanya mabadiliko kwa timu yake ya Tanzania
 
Dakika 52'
Mchezaji wa Ngorongoro anatikiswa anaanguka ndani ya penati box ya Morocco, kwa sekunde chache Refa anajiuliza atoe advantage kwa Tanzania lakini anapeta, hakuna penati.

Tanzania 0 - 3 Morocco
 
Dakika 59'
Pasi kibao zinatembezwa kwa sekunde 90, yaani karibu dakika mbili baina ya wachezaji wa Tanzania, lakini hazina madhara wala nafasi za mabao kwa Ngorongoro Heroes
Tanzania 0 - 3 Morocco
 
Dakika 63'
Ngorongoro heroes wanacheza kama vile wanaongoza kwa mabao ya ushindi huku Maroc wakionesha kila uchu kulinda ushindi walionao
Tanzania 0 - 3 Maroc
 
Dakika 67'
Nassoro Hamdoun wa Ngorongoro heroes kwa mara ya kwanza ktk kipindi cha pili anasababisha kipa ya Morocco kuchumpa kuokoa hatari

Tanzania 0 - 3 Maroc
 
Tatizo la mwalimu,
Hizo timu zinahitaji wachezaji wanaoshindana kwa sababu wachezaji wetu wengi hawana ndoto binafsi za kufika popote ndiyo maana hawajitumi uwanjani.

Lakini tuseme ukweli timu ya Ngorongoro heroes haina kocha.

Jinsi inavyocheza unaona wazi timu haijaunganishwa vizuri kiuchezaji siyo ubora wa wachezaji.
 
Ghana nao wamekula kichapo huko[emoji1]
 
Dakika 70'

Tanzania 0 - 3 Morocco

Nassoro Hamdoun namba 16 mgongoni wa Tanzania anabanwa na misuli ya paja na kugaagaa ktk pitch, bench la ufundi wataalamu wa lishe wanatakiwa kuangalia vimiminika na vyakula vya wachezaji wa Tanzania kuwa vipo sawa ili kukabiliana na mechi ngumu za mashindano ngazi hizi.
 
Dakika 80'

Tanzanie 0 - 3 Maroc

Ngorongoro heroes wameamua kuonesha vipaji binafsi, badala ya kucheza kitimu pengine ni nafasi ya kujinadi ktk soka la usajili kimataifa
 
Dakika 86'

Super coach Julio anashusha mabega kuonesha kukata tamaa kama kweli kuna nafasi ya kupata goli la kuifutia machoz Tanzania

Tanzania 0 - 3 Morocco
 
Dakika 80'

Tanzanie 0 - 3 Maroc

Ngorongoro heroes wameamua kuonesha vipaji binafsi, badala ya kucheza kitimu pengine ni nafasi ya kujinadi ktk soka la usajili kimataifa
we jamaa nasoma maneno yako nacheka sana nkiwaangalia hawa ndugu zetu hawaelewi hata wanataka nini wanajiendelea
 
Dakika 90'
Kipa Daniel Mgore afanya makubwa kwa kuzuia mkwaju mkali toka kwa mchezaji wa Morocco


Tanzania 0 - 3 Morocco
 
Dakika ya 90' + 3'

Huku Salat Maghrib ikisikika inazizima uwanjani hapa, Inshallah tunamshukuru Mungu mchezo umemalizika salama hapa Mauritania Michuano ya U20 2021.


MPIRA UMEKWISHA, SHUKRANI

TANZANIE 0 - 3 MAROC
 
Full time
20210222_235110.jpeg
 
Back
Top Bottom