Hizi takwimu / data zinataka kusema kitu fulani kuhusu timu ya U20 ya Tanzania, chenga tunawala sana wapinzani wetu pamoja na gonga nyingi za pasi.
Swali kubwa kwanini ushindi unatupotea !
Sasa kama unamiliki mpira kwenye nusu yako utafungaje goli?Hizi takwimu / data zinataka kusema kitu fulani kuhusu timu ya U20 ya Tanzania, chenga tunawala sana wapinzani wetu pamoja na gonga nyingi za pasi za diagonal na formation za diamond shape kumiliki mpira.
Swali kubwa kwanini ushindi unatupotea !
Kwa hiyo ni kweli kuwa sie bado tunafundisha mpira kwa kucheza open space kama alibyosema yule mujamaa?Hakuna kocha hapo, madogo wanajiongeza tuu na uzoefu wao wa kitaa.
Kocha hana elimu ya mpira morden..
Hizi timu za vijana zinahitaji kocha anaye toa elimu ya mpira na sio mhamasishaji.
Timu yetu haikuandaliwa vizuri lakini wachezaji tunao wazuri tu.Tatizo la mwalimu,
Haya maneno miaka yote yanasemwa, itatuchukua miaka mingapi kuandaa timu zetu?Timu yetu haikuandaliwa vizuri lakini wachezaji tunao wazuri tu.
Sasa mbona hilo liko wazi kabisa! Ccm inahusika, serikali ya ccm nayo inahusika! Haiwezekani karibia miaka 60 sasa tangu tuwe huru bado hatuna mafanikio ya maana katika michezo ukilinganisha na Nchi nyingine,Ovyo kabisa. Halafu kuna jitu litailaumu serikali.