NGO'S na upatikanaji wake wakazi

Duh ,so bila connection hupati nafasi🤔
 
Kwenye connection zipo ila pia bila connection unapata, mimi baada ya kumaliza muhas na internship niliapply bila connection wala experience nikapata jhpiego then from there nikafanya kama mashirika matatu miradi tofauti.

Uzuri ukishaingia katika cycle ya NGO’s nirahisi kupata kazi maana mnakuwa mnajuana coz mnarotate umoumo mara nyingi hasa medical personnel.
 
Mambo (maisha kwa ujumla) yamekuwa ya hovyo sana!

Hakuna anaekujua ndo mana unapotezewa. Wao wenyewe wanajua ukiula kupata ajira kwenye NGO's mambo lazima yawe matamu kama kisheti hivyo wahusika hawaoni hasara kuwapiga mkasi vijana walalahoi wasiojulikana (wasio na Connection) na kupachika wakwao wao wanaowahitaji wao ili wapate hizo nafasi waendelee kula keki ya taifa peke yao. Asikudanganye mtu kamanda... GPA kali!..., experience ya kutosha, vidato vingi, n.k sio issue 😊.... kwenye hizo NGO's, bandarini, T.R.A na taasisi nyeti zingine nyingi tu kuna watu wapo na wana GPA za "2.0" na form-four failures kibao!


Tunapoelekea ni pabaya sana! 🙂🙂🙂
 
Mkuu, mtusaidie na wadogo zenu basi,hali ngumu, nina bachelor ya HR na driving license
 
Tafuta connection usisimbue jamii...gpa kuwa ndogo haimaanishi hawez kuhudumia watu.
 
Bandarini nakataa now kuingia bila sifa sio rahisi
 
Haya mashirika mengi yao ndani kumejaa kujuana, urafiki, ukabila, na ukanda.

Ukifahamiana na HR, Country Director or hata Coordinator tayari umeula.

Ukitaka kuingia kwa mlango wa kawaida aise ni mambo mawili.

Uwe na Experience ya hali ya juu.
Na pili uwe na uwezo mkubwa.

Ila fresh from school kutoboa bila connection ni ngumu sana.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Suala la ajira za hizi NGOs ni changamoto kwangu pia,
Tuone namna ya kusaidiana.
NGOs zote ambazo DONOR ni mmoja, lets say USAID Mara nyingi nafasi za kazi huwa wanatangaziana NDANI ya taasisi Kwanza.

Wakikosa mtu ndio wanatangaziana NJE.

PILI, NGOs siku hizi HAZILIPI vizuri, UHUNI mwingi labda uwe nafasi za JUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…