Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Kupima nin mkuu?rip faza_nelly said:umepima?
Shukuran mkuuNenda ukanunue mafuta ya mgando ya grace ni mazuri nilikuwa nayatumia pindi nilipokuwa na soma chuo kikuu hapo iringa
Huu ukanda kwa barid ni noma mkuu yaan hata kunywa maji ni shughuli.Nilienda Mbeya Jumatatu nikakaa siku nne tu ila uso wangu umeanza kubanduka maganda..
Baridi ya huko siyo poa aiseeh
Pamoja mkuu, vipi lotion haziwezi kuchubua ngozi mkuu?Chukua vaseline tu unachanganya na lotion yenye mafuta ya olive au avocado unajisiliba , haubabuki
Usiseme kuna baridi ndo hunywi maji, yachemshe mkuu, maji muhimu sana.Huu ukanda kwa barid ni noma mkuu yaan hata kunywa maji ni shughuli.
Sometimes hadi nasahau mara ya mwisho kunywa maji ni lini.
Vipi umetumia mafuta gani?
Anywe tu mbona mim nakunywa sana tu hapa frelimo .jion unapanda hapa mashine tatu kwenye tangawizi kama unashuka sokonUsiseme kuna baridi ndo hunywi maji, yachemshe mkuu, maji muhimu sana.
Si kwamba naogopa au sitaki kunywa maji kwa sababu ya baridi ila nakosa kiu kutokana na ubaridi.Usiseme kuna baridi ndo hunywi maji, yachemshe mkuu, maji muhimu sana.
Upo Frelimo sehemu gan mkuu? Nipo Frelimo pia! Pamoja na ubaridi huu ila naona wenyeji wanakunywa ya kwenye friji.anywe tu mbona mim nakunywa sana tu hapa frelimo .jion unapanda hapa mashine tatu kwenye tangawizi kama unashuka sokon
Pamoja mkuuya nazi mazuri
Kuna zile app za kukumbusha wakati wa kunywa maji, itakuwa ya muhimu kwako. Kweli wakati wa baridi, kiu hukatika ila maji hatufai kuacha kunywa, maximun of 8 glasses a day to avoid dehydration.Si kwamba naogopa au sitaki kunywa maji kwa sababu ya baridi ila nakosa kiu kutokana na ubaridi.
Yaani hadi ukumbuke kunywa either kwa kuyachemsha n.k.
App gan hyo mkuu?Kuna zile app za kukumbusha wakati wa kunywa maji, itakuwa ya muhimu kwako. Kweli wakati wa baridi, kiu hukatika ila maji hatufai kuacha kunywa, maximun of 8 glasses a day to avoid dehydration.