Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ndio mkija huku mkaishi kwa miaka kadhaa mtaadapt.Japo lazima Cha moto mkipate.Huwezi amini ukienda Makete wakati wa baridi kali,linalosoma negative unaweza kuona jamaa wapo vifua wazi wakipiga Kazi za mikono km vile kufyetua tofali,kupasua mbao,kulima,n.k.Kwa hiyo nasi tutaadapt siyo?
Je, nanyi mwanzo mlikuwa kama sisi?