Ngozi kufubaa na kuwa kavu. Ni mafuta gani mazuri ya kupaka sehemu za baridi?

Kwa hiyo nasi tutaadapt siyo?

Je, nanyi mwanzo mlikuwa kama sisi?
Ndio mkija huku mkaishi kwa miaka kadhaa mtaadapt.Japo lazima Cha moto mkipate.Huwezi amini ukienda Makete wakati wa baridi kali,linalosoma negative unaweza kuona jamaa wapo vifua wazi wakipiga Kazi za mikono km vile kufyetua tofali,kupasua mbao,kulima,n.k.
 
Hakika mkuu.

Naona wenyeji wakifanya hivyo fresh tu wakati mm natetemeka Hadi maini pamoja na kuvaa makotikoti.
 
Uzuri wa Jf kila kitu watu wamepitia na wanakijua ,,hata kama wengi siyo wakweli ila watakupa majibu ,,.Hakuna kinacho shindikana Jf...nipo Njombe kwa sasa baridi ni kali kuliko la Iringa ila tumia Vasserine ...
 
Pamoja sana mkuu.

Nasikia huko Hadi linaunguza migomba
 
Tunatengeneza mafuta mgando ya karafuu kwa ajili ya wavuvi na watu waishio maeneo ya baridi. piga 0713039875 kwa oda.
 
Tumia Sabuni na Mafuta ya Mawese.... Products za Palmol Cosmetics. Ni nzuri Sana. Huyu Dada anafanya vizuri Sana. Instagram yupo @palmol_cosmetics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…