Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

Ako na pesa sana jamaa
Vihela vya kawaida tu sema ushamba ndio unamsumbua mwingine yule anaweka mbao na kusimanga wenzake ,mwenye hela hanaga muda wa kuhangaika na masimango maana unakuwa umezoea , sawa sawa na mtu anayepiga picha chakula cha hotelini ni kwamba hajazoea ndio maana anajaribu kuonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…