Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

Vihela vya kawaida tu sema ushamba ndio unamsumbua mwingine yule anaweka mbao na kusimanga wenzake ,mwenye hela hanaga muda wa kuhangaika na masimango maana unakuwa umezoea , sawa sawa na mtu anayepiga picha chakula cha hotelini ni kwamba hajazoea ndio maana anajaribu kuonyesha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tatizo lingine la waafrika wengi,

ukishindwa kuelewa kitu unasingizia uchawi......

haikushangazi? afrika siri ya utajiri inajulikana lakini ndo inaongoza kwa ufukara
Shem km shem ushahamia ukingani 😂😂😂
Hutaki kuona wakinga wanasemwa kabisaa
Waambie km pesa za kichawi ni rahisi nao washinde vilingeni wawe nazo tuwaone
 
Aisee,nisiwafiche...wenye pesa hawanaga mdomo hata kidogo....sisi kinakuibukia sisiii....utajutraa.

Anyway hata palestine walikuwepo wenye pesa....
 
Ila mitaani si mnaona wale choka mbaya wa zamani wanavitz wanafungua vioo, kupost visinia sherehe kila leo, kupost birthday za kufulu tu, kujionyesha Kama sio tulivyokuwa zamani, acha mond atuonyeshee jeuri ya pesa, wakati Hana jina wasanii baadhi aliowafata ili wamuonyeshe njia walimzarau mbele ya macho ya mama yake, kwa hiyo hivi avyovimba ni Kama kutoa machungu.
 

Huyu mkinga ni mshamba sana. Ela zenyewe za uchawi na makafara
Ila ukiwa wewe Ni mjanja ,umehaso,umeoambana Ila mwenzako kafara.hii Ni asili ya ubongo sio kuwa shida Ni yangu ama yako Bali mie nikifanikisha Jambo mie Ni mjanja,nilipambana,nilianzia chini hata Elon musk alilala stendi siku tatu,walipanga chumba kimoja wakilala kwenye Kochi na bro wake,wakioga YMCA Ila Sasa wewe ukitoboa Mara umepata bahati,ngekewa ,umeshikwa mkono,makafara, uchawi umetumika. Yaani ubongo wangu hautaki kukubali na mwenzangu anaweza akatoka zero na akatoboa Kama mie Bali mie mwenyewe ndiye ninayejiona mjanja Bali wengine hawafai ama hawawezi kwa nguvu hizo hizo nilizo nazo wakatoboa na wakafika juu kileleni. Huwa nafurahia mno ubongo wa binadamu unavyochakata data kutoa information.
Hapa Ni ego ndio inayofanya kazi Wala sio kuwa Ni sisi yaani tusingekuwa na EGO Mambo yetu mengi yangeenda salama kabisa Ila mengine yasingeenda.
Iko ivi wewe ukijenga ukizaa ukit00mba unakuja kutuhadithia amakutaka sie tujue ili tukukubali Bali wanyama wanafanya yao kimya kimya. Unamcheki prey anakamata predator wenzake wanakula sijawahi kumuona anajisifia mbele za wenzake anataka kuabudiwa. Yaani binadamu anakuwa controlled na ego. Jamaaa akaongea kawaida mno yaani pia dada wa kiafrika hawana kipato hawakusomeshwa so wanategemea uzuri wao na mwanaume akaumbiwa tamaa juu yao ,yaani hii tamaa ya mwanaume juu ya mwanamke ndio inayombeba ama inamfanya mwanamke anaishi na anajidai na anapata nguvu ya kukupelekesha. Yaani Ni kuwa shida yako ndio iyo iyo watu wanaitumia kukuchapia, yaani ndio wanaitumia kukutesa. Hata waajiri wetu wanaitumia Ile living yetu kutuogopesha Mara acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi. Hata wachungaji/dini/viongozi wa dini wanaitumia kifo ama maisha baada ya dunia kututishia na kutufanya tufuate wao wnaalotaka. Kama Hakuna kifo viongozi wa dini hawana lao na sisi.
Unakuta kuwa swali kifo kinakuja Sasa usali usisali kifo kipo tu na huwezi badilisha maana. Unaambiwa toa ndio utapata Raha mbinguni. Yaani mbingu ipo Ila sio kwa haya mafundisho ya kulazimishana ku trade zaka/sadaka vs baraka. Eti utabarikiwa ukitoa Hakuna kanuni iyo Kama unabarikiwa unabarikiwa tu haijalishi no matter what. Yeye mwenyewe anayewaambia mtoe sio mtoaji Bali anawauzia hope mnainunua ,
 
Inasikitisha wengi wetu humu hatuna hela na tunamponda jamaa eti hela za uchawi kama ni hivyo si mloge na nyie mpate. Kila mtu ana ushamba wake ila tukiambiwa ukweli tunajitetea jwenyw mwamvuli wa ushamba hela za uchawi. Bado hata ukiponda yeye ataendelea kupiga kibunda na ww utabaki na wivu na umaskini. Muda mwingine tuchukulie mambo +
 
Back
Top Bottom