Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

Inasikitisha wengi wetu humu hatuna hela na tunamponda jamaa eti hela za uchawi kama ni hivyo si mloge na nyie mpate. Kila mtu ana ushamba wake ila tukiambiwa ukweli tunajitetea jwenyw mwamvuli wa ushamba hela za uchawi. Bado hata ukiponda yeye ataendelea kupiga kibunda na ww utabaki na wivu na umaskini. Muda mwingine tuchukulie mambo +

Na huu ndio ukweli
 
Waache mazoea hakuna cha bure kipindi hiki cha bibi chaudele, watafute pesa zao masika imeshaanza wakalime huko
 
Ooh kumbe wewe unasema inasemekana [emoji16][emoji16][emoji16] sasa kumbe uamini ndio maana unasema inasemekana futa hiyo inasemekana kama kweli unaamini hivyo tuone unamainisha kwamba siri ya utajiri africa ni hiyo.
nasema inasemekana kwasababu mimi siamini lakini wengi wanaamini,

lakini cha kushangaza matajiri sio wengi
 
Mnaotuambia tutafute pesa,muwe mnasema pia ni kiasi cha pesa kitafutwe kama average . Vingenevyo tusipangiane maisha.

Msipate mindset ya kitumwa wasakatonge wenzangu.

Unapotafuta pesa usidharau ulichopata kwa jasho lako. Na ukumbuke kwa nini uliitafuta hio pesa .
 
Back
Top Bottom