Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

Maskini sifa zake wivu, chuki, husda, hawapendi ukweli na nguzo yao ni matusi, kama sio ukichaa Vunjabei kakosea wapi acheni stress za umaskini mbwa nyie kama ana pesa za kafara tafuteni na nyie ngedere vichaa hamnazo
 
Umeruka mavi na kukanyaga mkojo.

Umesema nguzo ya Maskini ni matusi, mbona hujajitofautisha na huyo Maskini kwa kauli hii "mmbwa nyie"?

Au nawe ni Maskini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…