Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu


Na huu ndio ukweli
 

Na huu ndio ukweli
 
Waache mazoea hakuna cha bure kipindi hiki cha bibi chaudele, watafute pesa zao masika imeshaanza wakalime huko
 
Ooh kumbe wewe unasema inasemekana [emoji16][emoji16][emoji16] sasa kumbe uamini ndio maana unasema inasemekana futa hiyo inasemekana kama kweli unaamini hivyo tuone unamainisha kwamba siri ya utajiri africa ni hiyo.
nasema inasemekana kwasababu mimi siamini lakini wengi wanaamini,

lakini cha kushangaza matajiri sio wengi
 
Mnaotuambia tutafute pesa,muwe mnasema pia ni kiasi cha pesa kitafutwe kama average . Vingenevyo tusipangiane maisha.

Msipate mindset ya kitumwa wasakatonge wenzangu.

Unapotafuta pesa usidharau ulichopata kwa jasho lako. Na ukumbuke kwa nini uliitafuta hio pesa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…