Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

Unacho kitafuta soon utakipata
 
Yaani ngozi yangu ya miguu tuu inawavuruga hivi baathi ya member. Hivi nyinyi nikiwaambia Habari za ngozi inayozunguka Macho yangu na idadi ya Matango ambayo nayatumia kila wiki kwa ajili tu ya kuitunza si mtajinyonga kwa utando wa buibui.
Mkuu kausha tu unazingua kinyama.
 
Kama wewe ni wakiume tunaomba ufute uzi umetudhalilisha, ila kama wa kike watakuja wenzio pia wakusaidie nini cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…