Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

Biashara hiyo,mashaba washajaa huko pm wakampake mafuta hadi juu ye akliwa anasugua miguu
 
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi.

Mimi oga yangu naosha kiungo kimoja kimoja, napitia mwili mzima nikiwa natoka nasikiliza kwa umakini mlio wa ndala zangu za Umoja "ngaaatu ngaaatu" nisiposikia huo mlio basi siku inakuwa imeharibika sitaweza kula ata ungekuwa wali maharage.

Nasumbuliwa na majinamizi ya miguu michafu niliyopata kuiona nikiwa ndotoni, mpaka leo kijana mimi miaka AroBainI sijampata Sindelelah wangu binti mwenye miguu misafi iliyotunzwa kama yangu. Mahusiano mengi yameisha kutokana mamanzi kuwa na sura mpya lakini miguu ya zamani.

Mimi nikitoka kuoga lazima nipakae mafuta miguu yangu, kila wiki lazima nikate kucha vidole vyote vya mguuni.
Another man 😔
 
Mkuu naona unataka wahuni wazame dm waombe washel....
 
Ukiendelea hivyo Dogo Mvulana ipo siku""TUTAKUTOO.….ZAA USHURU"Kwa kujisifu unamiguu laini wakati wewe bado ni Dogo Mvulana.###ShauriYako###
 
Huyu jamaa kaamua tu kufurahisha genge mwanaume kamili hawezi kujisifia vitu kama hvyo kamwe.
 
Tupe routine kaka/dada
My routine is Very Complex and Expensive, but hata kama ukiwa akili na pesa bado inaweza kukushinda kufuata kwa sababu ya kukosa focus na dedication ambayo ninayo. Ngoja kwanza niingie Kuoga.
 
My routine is Very Complex and Expensive, but hata kama ukiwa akili na pesa bado inaweza kukushinda kufuata kwa sababu ya kukosa focus na dedication ambayo ninayo. Ngoja kwanza niingie Kuoga.
Kaka/dada mbona vichambo jamani....kwani si apricot scrub tu au?
 
Back
Top Bottom