Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Mkuu fuatilia mwanzo mpaka mwisho katika huu uzi kuna mdau kashatoa maelezo yote aise.Tupe maujanja hapa.
Kenge nao ni msosi wa maaana kama hauna unyanyapaa.So far naona kambare wangu wanaendelea vizuri. Nawalisha ngozi za ngo'mbe kwa sana na dagaa mara moja moja sana
Imeweka uzio kuna kenge wa kutoshaView attachment 1392698
Unapatikana wapi mkuu na ngozi unazipataje (unapata wapi)?Mayu said:So far kambale wangu wanaendelea vizuri. Nawalisha ngozi ya ng'ombe.
... duh hii nchi hii! Ngozi zimegeuzwa chakula cha kambale badala ya kutengenezea the best leather products! Kweli penye miti hapana wajenzi ndio Tanzania yetu ilipofikia.Mimi huwa nanunua ngozi naikata vipande vidogodogo na kuichemsha mpaka iive, then ikipoa nawatupia samaki.
Mkuu sio kila mti unatumika kuleta mbao, inaweza tumika Kama kuni n.k.... duh hii nchi hii! Ngozi zimegeuzwa chakula cha kambale badala ya kutengenezea the best leather products! Kweli penye miti hapana wajenzi ndio Tanzania yetu ilipofikia.