Ngozi za wanyama zinafaa kama chakula cha Kambale?

Ngozi za wanyama zinafaa kama chakula cha Kambale?

Unajipa hasara ya nini kununua ngozi za ng'ombe, kwani huko mitaa ya kwenu hamna vyoo vilivyojaa mavi? Chakula kikukbwa cha kambalel ni kinyesi tu tena huwa kina kila aina ya vitamin anavyohitaji kambale, ngozi itamuua kwani anaweza kuchoke na manyoya ya ngozi ila kinyesi safi sana. Kama hutopata kinyesi, tafuta aina yeyote ya uchafu ulio oza majalalani kawape utaona tu watakavyonenepa. Think outside the box, unafikiri wakiwa wild huko maporini wanakula nini kama siyo mavi ya wanyama na uchafu chini ya mito?
 
Mimi huwa nanunua ngozi naikata vipande vidogodogo na kuichemsha mpaka iive, then ikipoa nawatupia samaki.
... duh hii nchi hii! Ngozi zimegeuzwa chakula cha kambale badala ya kutengenezea the best leather products! Kweli penye miti hapana wajenzi ndio Tanzania yetu ilipofikia.
 
... duh hii nchi hii! Ngozi zimegeuzwa chakula cha kambale badala ya kutengenezea the best leather products! Kweli penye miti hapana wajenzi ndio Tanzania yetu ilipofikia.
Mkuu sio kila mti unatumika kuleta mbao, inaweza tumika Kama kuni n.k.
 
Back
Top Bottom