Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Unajipa hasara ya nini kununua ngozi za ng'ombe, kwani huko mitaa ya kwenu hamna vyoo vilivyojaa mavi? Chakula kikukbwa cha kambalel ni kinyesi tu tena huwa kina kila aina ya vitamin anavyohitaji kambale, ngozi itamuua kwani anaweza kuchoke na manyoya ya ngozi ila kinyesi safi sana. Kama hutopata kinyesi, tafuta aina yeyote ya uchafu ulio oza majalalani kawape utaona tu watakavyonenepa. Think outside the box, unafikiri wakiwa wild huko maporini wanakula nini kama siyo mavi ya wanyama na uchafu chini ya mito?