Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Source ya hizi bangiAlikuwa chawa wao, ila waafrika wenzake walimfanya kitu mbaya aliporudi kwao, wakamvamia kipigo cha maana na wakambaka mkewe.
Wazungu hata Webabu Na Malaria 2 wanafagilia mabeberu kimoyo moyoHuyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza eti ni kutukuza mabeberu
Hadi akaamua kuandika kwa Kikuyu vitabu vyake badala ya English lengo eti ni ku resist ubeberu.!
Cha ajabu huyu mtu alikuwa akiishi kwa mabeberu, yaani nchi yake na nchi zote 54 za Africa kaziona ni kama takataka akaamua kulowea kwa mabeberu huku aki promote lugha ya kabila lake la Kikuyu.
Contradiction moja kubwa sana
Source ya hizi bangi
Umenena vemaAnaonewa na kudharauliwa mtu mjinga, Asiye na chochote kichwani.........
Nakumbuka walitibiwa na Dr Dan Gikonyo na tukio lilitokea mwaka 2004 wiki moja baada ya kuwa wamerudi kutoka ughaibuniAlikuwa chawa wao, ila waafrika wenzake walimfanya kitu mbaya aliporudi kwao, wakamvamia kipigo cha maana na wakambaka mkewe.
Hili swali hata mimi nimelifikiria baada ya kupata habari ya kifo chake ndiyo yale yale ya chinua achebe pamoja na wole SoyinkaHuyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza eti ni kutukuza mabeberu
Hadi akaamua kuandika kwa Kikuyu vitabu vyake badala ya English lengo eti ni ku resist ubeberu.!
Cha ajabu huyu mtu alikuwa akiishi kwa mabeberu, yaani nchi yake na nchi zote 54 za Africa kaziona ni kama takataka akaamua kulowea kwa mabeberu huku aki promote lugha ya kabila lake la Kikuyu.
Contradiction moja kubwa sana
fatilia mambo punguza akili za matopeSource ya hizi bangi