Baadhi ya hayo masomo ni literature / Fasihi?
Na aliyekwambia fasihi inakwambia ufanye hiki au kile (kama bible) ni nani ? au inakupa mawazo ya mtunzi / different perspective na wewe unaweza ukabisha, ukakubali ukajadili au kusema hapa ni hivi au vile ? (enhancing critical thinking) hivyo ukiangalia jambo haukubalini nalo bali unaweza kuwa critical kulingana na wewe unavyoliona..., sasa kama wewe kwa akili yako unaona literature inaweza ikawa replaced na Kilimo as if ukisoma au kujia literature utasau kilimo basi unahitaji kujielimisha zaidi kuhusu capacity ya ubongo...
Nini maana ya kuelimika ? Wakidrop somo fulani basi obvious hawatapata uelewa wa hilo somo
Kwahio huyo Mbunge wako anadhani unaweza ukawa mahili kwenye engineering bila kusikia wala kupitia hizo hesabu ? Unadhani Hesabu ni kama Historia yaani usipomsoma wala kumsikia Askia the Great basi haimaanishi huwezi kumuelewa Alexander the Great..., Hesabu ni kama ghorofa misingi unayojenga huku chini na floor za chini ndio zinakuwezesha kupandisha jengo juu....
Ndio maana nimekwambia na ninakwambia tena kwenda shule au formal education sio ndio kuelimika au kumaliza madarasa na shule sio mwisho wa kuelimika
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist, Enterpreneur, Lecturer) na School Drop- Out Don't Let Schooling interfere with your Education....... Ni...
www.jamiiforums.com