Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kidini au kidney au Figo.Mungu anauchukia mpira?kivipi?na hii ni kwa imani ya upande upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidini au kidney au Figo.Mungu anauchukia mpira?kivipi?na hii ni kwa imani ya upande upi?
Kwahiyo hapo KISIJU, mnaamini mchango ni madrasa na visima pekee?Hapa KISIJU wengi hawamjui, aligusa maisha ya kina Nani? Mtu ameshindwa kuchangia hata ujenzi wa madrasa? Visima? U-legend unatoka wapi?
Hayo ni yako na bahati nzuri wewe sio Mungu na wewe unasubiri siku yako kama mchezo wa mpira usingeidhinishwa na Mungu usingependwa kihivyo na ungeisha toweka kitambo.tatizo huko anakoenda sasa! hawaujui mpira wanataka ibada! huku ameondoka shujaa ila sasa kisago atakacho kumbana nacho huko! amewafanya waache kwenda kusali washinde kutwa kwenye luninga wakiangalia pasi na tobo za maudhi ,mungu anauchukia sana mpira,nikama sanamu yenye nguvu sana kwa sasa hapa duniani namuonea huruma maana jehanum ndio mahala pake!
NaamKwahiyo hapo KISIJU, mnaamini mchango ni madrasa na visima pekee?
Hayo ni yako na bahati nzuri wewe sio Mungu na wewe unasubiri siku yako kama mchezo wa mpira usingeidhinishwa na Mungu usingependwa kihivyo na ungeisha toweka kitambo.
Long live soccer and rip to the world's soccer legend.
Yule m-Morocco je?Messi
Maradona
Wengine wakasome+pele
Pele hakuwa mtu wa sport sport 🙌🙌Alishawahi kupiga shuti likagonga mwamba juu mpaka bomba ikakatika vipande viwili
Basi watu wa KISIJU ndio wajinga zaidi kuliko wote hapa Tanzania!Naam
Hii term paliative kwa mara ya kwanza nilisikia wakati nauguza marehemu baba, nadhani ni kitengo kwa watu wanaosubiria kifo tu.Tutakumiss nilisema kama mzoefu niliyefanya kazi palliative unit.I said itakuwa ngumu kufika 2023.R.IP Baba
Yule m-Morocco je?
Sijafuatiliaunamzungumziaje papa….nae
Kifo ni fumbo
Sasa Messi anamzidi nn Pele MkuuHuyu marehemu wanampamba sana.. ingelikua ndio Messi mtoto wa pele dah.. ila ndio hivyoo wakubali tu MESSI ndio THE GREATEST FOOTBALL OF TIME, itachukua miaka mingi sana au huenda isitokee kumpata MESSI mwingine,
Sasa Messi anamzidi nn Pele Mkuu
Mesi amewahi simamisha vita ??
Yes,hapo hakuna matibabu ya kuponya tena. Ni kuwacomfort wagonjwa na familia pia. Hapo ni mwendo wa analgesic drugs tu(dawa za kupunguza maumivu).Hasa morphine na Sufentanil. Nimefanya kazi Palliative care na Intensive care unit.Yaani ni opposing units. ICU tunapambana kuokoa life wakati Palliative tunasindikiza mtu aage dunia kwa amani.Maisha haya acha tu.Hii term paliative kwa mara ya kwanza nilisikia wakati nauguza marehemu baba, nadhani ni kitengo kwa watu wanaosubiria kifo tu.
Wauguzi na madaktari mpewe heshima asee.
Kuna wagonjwa kwa muujiza wowote huwa wanaamka na kutoka paliative unit?Yes,hapo hakuna matibabu ya kuponya tena. Ni kuwacomfort wagonjwa na familia pia. Hapo ni mwendo wa analgesic drugs tu(dawa za kupunguza maumivu).Hasa morphine na Sufentanil. Nimefanya kazi Palliative care na Intensive care unit.Yaani ni opposing units. ICU tunapambana kuokoa life wakati Palliative tunasindikiza mtu aage dunia kwa amani.Maisha haya acha tu.
Hakuna, yaani hapo ndo mwisho wengi ni wagonjwa wenye terminal cancer ambao matibabu hayafanyiki tena, wengi pia ni wenye magonjwa ya terminal renal failure .Hapo ni kuwa karibu na Mungu tu,ndo maana palliative unit kuna huduma zote kwa mgonjwa na familia pia mfano wachungaji,mapadri,imam,wanasaikolojia n.k hapo ni kutiana moyo ili mtu apate mwisho mwema.Kuna wagonjwa kwa muujiza wowote huwa wanaamka na kutoka paliative unit?
Tayari ametutoka.unamzungumziaje papa….nae
Kifo ni fumbo