TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

Hapa KISIJU wengi hawamjui, aligusa maisha ya kina Nani? Mtu ameshindwa kuchangia hata ujenzi wa madrasa? Visima? U-legend unatoka wapi?
Kwahiyo hapo KISIJU, mnaamini mchango ni madrasa na visima pekee?
 
Hayo ni yako na bahati nzuri wewe sio Mungu na wewe unasubiri siku yako kama mchezo wa mpira usingeidhinishwa na Mungu usingependwa kihivyo na ungeisha toweka kitambo.

Long live soccer and rip to the world's soccer legend.
 
Messi
Maradona

Wengine wakasome+pele
 
Tutakumiss nilisema kama mzoefu niliyefanya kazi palliative unit.I said itakuwa ngumu kufika 2023.R.IP Baba
Hii term paliative kwa mara ya kwanza nilisikia wakati nauguza marehemu baba, nadhani ni kitengo kwa watu wanaosubiria kifo tu.
Wauguzi na madaktari mpewe heshima asee.
 
Huyu marehemu wanampamba sana.. ingelikua ndio Messi mtoto wa pele dah.. ila ndio hivyoo wakubali tu MESSI ndio THE GREATEST FOOTBALL OF TIME, itachukua miaka mingi sana au huenda isitokee kumpata MESSI mwingine,
Sasa Messi anamzidi nn Pele Mkuu
Mesi amewahi simamisha vita ??
 
Kwa jina la Yesu 2026 brasil tunabeba kombe,for u o rei pele[emoji1054][emoji1054][emoji1054]
 
Hii term paliative kwa mara ya kwanza nilisikia wakati nauguza marehemu baba, nadhani ni kitengo kwa watu wanaosubiria kifo tu.
Wauguzi na madaktari mpewe heshima asee.
Yes,hapo hakuna matibabu ya kuponya tena. Ni kuwacomfort wagonjwa na familia pia. Hapo ni mwendo wa analgesic drugs tu(dawa za kupunguza maumivu).Hasa morphine na Sufentanil. Nimefanya kazi Palliative care na Intensive care unit.Yaani ni opposing units. ICU tunapambana kuokoa life wakati Palliative tunasindikiza mtu aage dunia kwa amani.Maisha haya acha tu.
 
Kuna wagonjwa kwa muujiza wowote huwa wanaamka na kutoka paliative unit?
 
Kuna wagonjwa kwa muujiza wowote huwa wanaamka na kutoka paliative unit?
Hakuna, yaani hapo ndo mwisho wengi ni wagonjwa wenye terminal cancer ambao matibabu hayafanyiki tena, wengi pia ni wenye magonjwa ya terminal renal failure .Hapo ni kuwa karibu na Mungu tu,ndo maana palliative unit kuna huduma zote kwa mgonjwa na familia pia mfano wachungaji,mapadri,imam,wanasaikolojia n.k hapo ni kutiana moyo ili mtu apate mwisho mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…