TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

R.i.p nguli kamsalimie Maradona mwambie soka la bongo bado sana team zinazotakiwa kutoa ushindani mpaka zitangaziwe dau ndio labda zinaweza ifunga simba
Hawezi mwambia hizi takataka, yaani aache kumsimulia jinsi messi alivyo chukua kombe la dunia aanze kumsimulia takataka za simba sijui blah blah blah,,,,, eboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…