TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

Ajabu sana hii yani kumbe ndio maana hizi zinaitwa local channels lah nimecheki itv, eatv, star TV, channel ten, clouds TV hakuna hata TBC duh inamaana hakuna breaking news?
 
Nguli wa kandanda nchini Brazil Pele, anayetambulika na wengi kuwa mchezaji bora kabisa wa muda wote na mshindi mara tatu wa Kombe la Dunia, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82
Safari Yake amekamilisha uumbaji wake. Bado mie na wewe
 
Mkuu shikamoo
Sjakuona tangu wakubamize za kisogo 😂😂😂😂

Vamoos
Timu Messi mnamidomo ya namna gani sijui ona mmemsema sana mgonjwa mpaka amefariki!!!!

Wahenga walikosea sana kusema maneno hayavunji mfupa, for the first time nimegundua walitudanganya
 
Timu Messi mnamidomo ya namna gani sijui ona mmemsema sana mgonjwa mpaka amefariki??

Wahenga walikosea sana kusema maneno hayavunji mfupa, for the first time nimegundua walitudanganya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nimecheka na kulia kwa pa1
Mkuu lakin ulipotea sana....maumivu yalizidii??
 
Back
Top Bottom