TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

Pelé in Heaven telling Maradona what Messi has done in WC 2022
FB_IMG_16723419825395307.jpg
 
Binafsi nimesikitika lakini sometime niwe na moyo wa shukrani kwa Mungu kwa ajili ya maisha yake na kipaji alicho mjalia, sio kila mtu anaweza kufikia alipofika Pele, japo wengi wanaonyesha jitihada lakini jitihada hazizidi kudra, kwa hiyo ni kudra ya Mungu kuwa pale alipokuwepo, so asante Mungu.

Dunia haitamsahau ingawa sisi tutamsahau lakini ulimwengu wa soka ameacha alama kizazi na kizazi.
Apumzike kwa amani .
 
Nguli wa kandanda nchini Brazil Pele, anayetambulika na wengi kuwa mchezaji bora kabisa wa muda wote na mshindi mara tatu wa Kombe la Dunia, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82.
===

1672343337054.png

Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo

Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa Moyo na Figo, na amekuwa akipambana na Saratani ya Utumbo tangu Septemba 2021

Wakati wa uchezaji wake wa Kimataifa, alishinda Kombe la Dunia mara tatu - mnamo 1958, 1962 na 1970 huku akiwa ni mchezaji pekee aliyefanikisha hili.
 
Back
Top Bottom