Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Wiki juzi almanusura nife miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naweza kutupa ngumi mbili tatu pumzi ya kati😂😂😂😂 Majuzi tuko huko baani nikiwanashtua kidogo, mara jamaa akaanzisha ugomvi, chap kasogeza meza tuzipange.
Sikutaka kubaki mnyonge nikijiamini na kale ka pumzi kangu!! Nimerusha ngumi ya kipekee kabisa jamaa kachomoa gafla aliniteketeza kwa mapigo ya juu na wastani bila kutarajia mi kule chali damu walawala.
Ugomvi wenyewe kisa waiter mwenye kawowowo ambaye ni best yangu kitambo mzigo mara chache na vimichongo vya vidili haramu kidogo!
Waiter wangu Julie ndo alinipepea kuzinduka, namshukuru
NB: Vijana tufanyeni mazoezi dah💪💪💪💪
Share nasi ulishawahi kupigana!!?