Ngumi rasharasha manusura nijifie

Ngumi rasharasha manusura nijifie

Fanya mazoezi acha uzembe kuanzisha magomvi na vijana. Mie mwenyewe na umri wangu siwezi anzisha ugomvi hata na mtoto wa form 2. Unaweza kuaibika bila sababu

🤣🤣😀😀
Vijana tumevurugwa unatuletea zakuleta, tunapasua mwamba wa pua hiyo.
Alaah!
 
Aisee pole. Ubaya wa ngumi za mavumbini, refa hua ni damu tu.

Af kuna masela wanagonga nazi balaa. Akitupa konde utafkiria umepigwa bomu
Nakumbuka wakati bwana mdogo nimetoka kukimbia nimepiga mapushup yangu nimebeba vinondo kidogo nikajiamini, nipo mtaani bro mmoja ivi akanizingua kanizid umri mbali, nikavimba nikamwambia wewe nakutamani long time tukazipanga, nilirusha rusha ila alinipiga bomba moja siji kuisahau nilienda kutua mbali sana, akaja akanipooza na jero ya aspirin akasema dogo usicheze na kaka zako, toka sikuile me bwana sitak matani na raia yan labda umtukane maza au umshike tako mwanamke wangu mbele yangu ndio ntatafuta mbinu ya kupambana na wewe ila hawa wengine najitoaa mapema...
 
Yeye mwenyewe anasema hajawahi pigwa ngumi ya kitaalamu kama ile alikuwa anapiga mihayo halafu anajiuliza maswali na anayajibu mwenyewe.si wamekupiga kmme? Poa ntawakamata tu.Kwa hiyo mmeamua kunitegua taya ? Sawa nyie wababe tutaona.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kama namuona vile huku kashika tayaa
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Kweli mkuu, hata hii ya kwenda kuachanisha ugomvi nilishapelekewa ngumi matata ya kifua nikaisikia kisawasawa.......ugomvi wa kilevi ni hatari.
Ni hatari sana mkuu, rafiki yangu alivunja/vunjwa shingo bar, long story short ugomvi wa bar sio mzuri...bar kuna kila aina ya watu, majambazi, wauaji n.k epuka mkuu...
 
😂😂😂asee mkuu uliwaza nini kuomba pambana la uzito wa juu na wewe ni wa uzito wa kati???
Mkuu sikutaka onekana mnyonge, nilitaka kuendeleza ubabe kitaa kumbe mwili ushakataa 😂😂
Hakuna mazoezi ni misosi na bia
 
Mimi sipigani bila helmet tena iwe na kioo
Mkuu usijaribu watakutupia ngumi ngumu helmet utatoa mwenyewe.
Siku izi masela wanafanya mazoezi ya mapigano na hawasemi wanasubiri ujichanganye wakupee ujumbe 😂😂😂
 
Ni hatari sana mkuu, rafiki yangu alivunja/vunjwa shingo bar, long story short ugomvi wa bar sio mzuri...bar kuna kila aina ya watu, majambazi, wauaji n.k epuka mkuu...
Hasa hizi baa za changanyikeni/ wapitaji njia ni hatari sana!!
Kuna hizi baa za mtaani za kujuana/majirani wakuamua wapo ni kutambiana tu.
Kuna baa mtu unaangia unakuta mijitu hata ukiwa umelewa vipi huwezi mkanyaga kwa bahati mbaya
 
Kweli mkuu, hata hii ya kwenda kuachanisha ugomvi nilishapelekewa ngumi matata ya kifua nikaisikia kisawasawa.......ugomvi wa kilevi ni hatari.
Pole mkuu smtms inabidi usaidie kuamulia japo ni hatari sana, si poa kuona ndugu yako anapasuliwa ukauchuna!!
Shida ni hao watupa ngumi sasa daaaah hawana huruma
 
Back
Top Bottom