and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Atakuwa Mandonga 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa Mandonga 🙂
Mwamba alikuwa anapiga mihayo kutwa nzima!!? Nimecheka sanaKuna jamaa alipigwa ngumi ya taya na polisi .Alikuwa anapiga mihayo siku nzima na kujiongelesha na kujijibu mwenyewe.Epuka ugomvi kwa namna yoyote ile hasa wa bar kuitwa marehemu ni dk 0 tu.
Ugomvi noma sana, sema ulevi nao unampa mtu bichwa sana[emoji23][emoji23][emoji23] Daah jamaa kachukua point 3 nyumbani.
Ugomvi sio poa kubaya zaidi ni mwanamke ndio mnagombea. Kwa sababu ni mrupo wako(ubabe) ungeweza kufanya ubabe wa kuhakikisha una ondoka...
Ugomvi noma sana, sema ulevi nao unampa mtu bichwa sa[emoji23][emoji23][emoji23] Daah jamaa kachukua point 3 nyumbani.
Ugomvi sio poa kubaya zaidi ni mwanamke ndio mnagombea. Kwa sababu ni mrupo wako(ubabe) ungeweza kufanya ubabe wa kuhakikisha...
Hahahahah unakula nakoz konz mbili tatu ukija kucheki ni kama ulirushiwa tofali 🤣Aisee pole. Ubaya wa ngumi za mavumbini, refa hua ni damu tu.
Af kuna masela wanagonga nazi balaa. Akitupa konde utafkiria umepigwa bomu
Kuna miamba wanapiga kama wana nyundo mikononiHahahahah unakula nakoz konz mbili tatu ukija kucheki ni kama ulirushiwa tofali 🤣
Wewe inaonekana ni mtu mzuri na unaweza kutatua jambo kwa mazungumzo, fuata njia hii ni nzuri. Kupigana ni hatari mno waweza kuumiza au kuumizwa vibaya.Wiki juzi almanusura nife miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naweza kutupa ngumi mbili tatu pumzi ya kati😂😂😂😂 Majuzi tuko huko baani nikiwanashtua kidogo...
Mkuu nafanya mazoezi sasa 😂Hahahahah unakula nakoz konz mbili tatu ukija kucheki ni kama ulirushiwa tofali 🤣
Jipigepige kifua mara tatu huku ukijisemea, mimi mpumbavu ilibaki kidogo nife... Naapa sitorudia tena huu ujinga)
Ngumi chapu chapu bila kujua la kufanya vitasa vyenye kiloMikono mfululu yani pah pah! Mfululu yani paah wamekaah😀😀😀
Fanya mazoezi acha uzembe kuanzisha magomvi na vijana. Mie mwenyewe na umri wangu siwezi anzisha ugomvi hata na mtoto wa form 2. Unaweza kuaibika bila sababuMkuu nafanya mazoezi sasa 😂
Kweli mkuu sinaga baya na mtu mda mwingi ni cool alone, bwege wivu akanikurupukiaWewe inaonekana ni mtu mzuri na unaweza kutatua jambo kwa mazungumzo, fuata njia hii ni nzuri. Kupigana ni hatari mno waweza kuumiza au kuumizwa vibaya. Kumbuka ngumi yako katika umri ulionao sasa si ile ngumi ya umri wa kitoto. Unaweza kuuwa kwa ngumi yako kimasihara tu!
Hizo ndio unatakiwa uziweze sema bila pumzi lazma ukalishwe ila lazma utamdokoa dokoa. Ukianzisha vagi hutakiwi kusikilizia yani 😀Ngumi chapu chapu bila kujua la kufanya vitasa vyenye kilo
Yeye mwenyewe anasema hajawahi pigwa ngumi ya kitaalamu kama ile alikuwa anapiga mihayo halafu anajiuliza maswali na anayajibu mwenyewe.si wamekupiga kmme? Poa ntawakamata tu.Kwa hiyo mmeamua kunitegua taya ? Sawa nyie wababe tutaona.Mwamba alikuwa anapiga mihayo kutwa nzima!!? Nimecheka sana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nigga knocked out, went down cold like an ice... One hit knockout..One blow to the floor and the nigga keeps hitting the keyboard.
Hatari sana mkuu then kuna walevi wao nikutaka ngumi tuEpuka bar fights, hata ambae ana break up ugomvi ni too risk, watu wamelewa unaweza poteza maisha kizembe.