Ngumi rasharasha manusura nijifie

Ngumi rasharasha manusura nijifie

If the fight is inevitable, throw the first punch,hii kanuni yetu waoga,piga za pua na macho chapu,mchuzi ukitoka wataamua tu
Nna jamaa angu yeye hajui kurusha hata ngumi moja,ila amekomaa sana utosini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yeye anavizia haujajipanga vizur anakupiga vichwa viwili vizuri sana lazma ukimbie wewe.
 
Aisee
Sipendi ugomvi, ukinigusa hata kofi moja tu,mimi mbio polisi...

Nitahakikisha naonga hadi senti yangu ya mwisho ili wakunyooshe....wakikushindwa

Nakutafutia wahuni...wakikushindwa

Sikufichi nakufungia safari kwa waganga.

Natania tu.
 
Mkanganyiko kukanganya [emoji23][emoji23] we jamaa ni mtu fulani mkweli mkweli hivi hupendi kufake life yaani ukwelii ni ukwelii na uongo ni uongo polee kwa ngumi za chembe
Nashukuru mkuu mi abadani si fake mambo kusema uongo hata kwa utani hapana!!!
Ila yule mpuzi alitupa ngumu ka vyuma
Tulimaliza ugomvi na ni mshkaj
 
Wiki juzi almanusura nife miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naweza kutupa ngumi mbili tatu pumzi ya kati😂😂😂😂 Majuzi tuko huko baani nikiwanashtua kidogo, mara jamaa akaanzisha ugomvi, chap kasogeza meza tuzipange.

Sikutaka kubaki mnyonge nikijiamini na kale ka pumzi kangu!! Nimerusha ngumi ya kipekee kabisa jamaa kachomoa gafla aliniteketeza kwa mapigo ya juu na wastani bila kutarajia mi kule chali damu walawala.

Ugomvi wenyewe kisa waiter mwenye kawowowo ambaye ni best yangu kitambo mzigo mara chache na vimichongo vya vidili haramu kidogo!

Waiter wangu Julie ndo alinipepea kuzinduka, namshukuru

NB: Vijana tufanyeni mazoezi dah💪💪💪💪

Share nasi ulishawahi kupigana!!?
Pole kiongozi....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Daah jamaa kachukua point 3 nyumbani.

Ugomvi sio poa kubaya zaidi ni mwanamke ndio mnagombea. Kwa sababu ni mrupo wako(ubabe) ungeweza kufanya ubabe wa kuhakikisha una ondoka nae hapo jamaa ungemshinda pakubwa. Sasa unaruhusu mnafikia kwenye ugomvi wengine wanakuaga na bastola ukimzidi anachomoa chuma.

Kitu nachoepuka ni ugomvi nikishanusa harufu hiyo nakusanya vilivyo vyangu naambaa. Ndio tutakufa ila sio kwa style hiyo ambayo unaweza kuepuka
Mbaya zaidi hujui power ya mpinzani.
 
Anko inabidi uje nikufue alafu umtafute jamaa part two😁
 
Aisee
Sipendi ugomvi, ukinigusa hata kofi moja tu,mimi mbio polisi...

Nitahakikisha naonga hadi senti yangu ya mwisho ili wakunyooshe....wakikushindwa

Nakutafutia wahuni...wakikushindwa

Sikufichi nakufungia safari kwa waganga.

Natania tu.
Daah we nooma 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom