Wiki juzi almanusura nife miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naweza kutupa ngumi mbili tatu pumzi ya katiππππ Majuzi tuko huko baani nikiwanashtua kidogo, mara jamaa akaanzisha ugomvi, chap kasogeza meza tuzipange.
Sikutaka kubaki mnyonge nikijiamini na kale ka pumzi kangu!! Nimerusha ngumi ya kipekee kabisa jamaa kachomoa gafla aliniteketeza kwa mapigo ya juu na wastani bila kutarajia mi kule chali damu walawala.
Ugomvi wenyewe kisa waiter mwenye kawowowo ambaye ni best yangu kitambo mzigo mara chache na vimichongo vya vidili haramu kidogo!
Waiter wangu Julie ndo alinipepea kuzinduka, namshukuru
NB: Vijana tufanyeni mazoezi dahπͺπͺπͺπͺ
Share nasi ulishawahi kupigana!!?