Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
- Thread starter
-
- #41
Mkuu smtms inabidi just imagine mama watoto aonewe mbele zakoDouble feelings....nacheka na kuhuzinika kwa pamoja. Ugomvi sio kitu kizuri kama unaweza kuepuka kwa namna yeyote basi jiepushe usimpige mtu usipigane
Una ambaa na njia, sema ugomvi jau sana inapobidi ni kujiepusha tu ikikubidi sana ndio unampa mtu za chembe ukiona mgumu kuanguka una amsha [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Daah jamaa kachukua point 3 nyumbani.
Ugomvi sio poa kubaya zaidi ni mwanamke ndio mnagombea. Kwa sababu ni mrupo wako(ubabe) ungeweza kufanya ubabe wa kuhakikisha una ondoka nae hapo jamaa ungemshinda pakubwa. Sasa unaruhusu mnafikia kwenye ugomvi wengine wanakuaga na bastola ukimzidi anachomoa chuma.
Kitu nachoepuka ni ugomvi nikishanusa harufu hiyo nakusanya vilivyo vyangu naambaa. Ndio tutakufa ila sio kwa style hiyo ambayo unaweza kuepuka
Siunajua tena mbele ya mwanamke, mwanaume lazima ujitutumue kidogo πππππasee mkuu uliwaza nini kuomba pambana la uzito wa juu na wewe ni wa uzito wa kati???
Daah angalalia watakuuwa ππSiunajua tena mbele ya mwanamke, mwanaume lazima ujitutumue kidogo ππ
Pole sna mkuuSipendi ugomvi, kuna siku niliamulia ugomvi wa jamaa yangu ilikua kashika kisu ***** kilinipitia sitakuja kuingilia ugomvi tena.
Niseme tu asante sanaNiseme tu .. pole mwaya
Npo fresh mkuuHuu uzi umeandika ukiwa bado pombe hazijakutoka kichwani?
Mkuu ni ulevi tu nothing seriousyaani unapigana au kupigwa kisa demu?..
Yaani unapigwa ngumi unamtafuta aliyeshika kirunguAisee pole. Ubaya wa ngumi za mavumbini, refa hua ni damu tu.
Af kuna masela wanagonga nazi balaa. Akitupa konde utafkiria umepigwa bomu
Tena nilitaka nikuue kabisa,washukuru wenzako kwa kuamua ugomvi.Wiki juzi almanusura nife miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naweza kutupa ngumi mbili tatu pumzi ya katiππππ Majuzi tuko huko baani nikiwanashtua kidogo, mara jamaa akaanzisha ugomvi, chap kasogeza meza tuzipange.
Sikutaka kubaki mnyonge nikijiamini na kale ka pumzi kangu!! Nimerusha ngumi ya kipekee kabisa jamaa kachomoa gafla aliniteketeza kwa mapigo ya juu na wastani bila kutarajia mi kule chali damu walawala.
Ugomvi wenyewe kisa waiter mwenye kawowowo ambaye ni best yangu kitambo mzigo mara chache na vimichongo vya vidili haramu kidogo!
Waiter wangu Julie ndo alinipepea kuzinduka, namshukuru
NB: Vijana tufanyeni mazoezi dahπͺπͺπͺπͺ
Share nasi ulishawahi kupigana!!?
If the fight is inevitable, throw the first punch,hii kanuni yetu waoga,piga za pua na macho chapu,mchuzi ukitoka wataamua tuHizo ndio unatakiwa uziweze sema bila pumzi lazma ukalishwe ila lazma utamdokoa dokoa. Ukianzisha vagi hutakiwi kusikilizia yani π
Ngumi ya uwoga huwa inaaibisha sana, unaweza shangaa unavuja damu tu.If the fight is inevitable, throw the first punch,hii kanuni yetu waoga,piga za pua na macho chapu,mchuzi ukitoka wataamua tu
Si ndiyo hapo,angewashia kwenye gia..yaani angeacha vumbi tuUnapigwaje?,huna mbio?