Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Hii ni hujuma. Ni hujuma dhidi ya changizo la dau la kumpata Ben Saaanane. Mleta uzi unakatisha watu tamaa ya kuchanga kwa kuwaaminisha kuwa the guy is no more! Kamezwa! Unafaidika nini hasa?
Bahati mbaya tumeingia kichwakichwa na kuona fasihi yako ina nia njema kumbe shetwani. Macho yamefunguka.
Content and timing tells everything about your intention. Kujaribu insinuate gavana Bashite na mauji hakukusafishi nia yako!
Awe amemezwa na chatu--tupeni scarf yake tukaizike, awe mmemnyonga--tupeni hata bukta yake tukaizike.
AMA KWELI SHETANI ATABAKI SHETANI
 
Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
Wewe siyo miongoni mwa wauaji. Kwanza ni mlokole Fulani hivi ila fuata upepo. Dini yako inakuruhusu kutetea wauaji? Hukumu ya kifo ni halali kwa mujibu wa mafundisho ya dini yako? Itikadi isikufanye umsaliti Mungu wako, aliyeuawa ni binadamu aliyeumbwa ili aishi na hakuna mtu aliyeruhusiwa na Mungu kutoa roho yake kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…