Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 458
Hakina nimeumia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe si ndio uliekuwa unamwambia Ben maneno kama haya kwenye ule uzi wake aliotoa kueleza kutishiwa kifo!Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
Wewe na kizazi chako mtaishi milele. Mungu umsaidie kiumbe wako pamoja na uzao wake wapate stahiki zao sawasawa na matendo yake. Amina.Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
hakika mkuu na kila mtu atalipwa kadr ya matendo yakeDunia mapito
Hawa magangstar wetu waliweka kwenye viroba na kutupa bahariniMwili wa Kashogi inasemekana uliyeyushwa kwa kemikali baada ya kuuawa kwenye ubalozi wa Saudia nchini uturuki
Lego lilikuwa ni kuzifisha hoja zao zenye mashiko. Bado naendelea kuamini kuwa ile PhD ni fake wala haihitajiki utafitiKumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.
Unamaanisha maganster wanafuga pythonUtazika kilichomezwa??
Ulishalaaniwa wewe na kizazi chako chote...Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
Huyo jamaa mzee wa black mamba sijamuona kitambo!!!Leo umeamua kuja kivingine!! Wokovu wa imhotep unaweza kuzaa walokole wengi.
Wewe siyo miongoni mwa wauaji. Kwanza ni mlokole Fulani hivi ila fuata upepo. Dini yako inakuruhusu kutetea wauaji? Hukumu ya kifo ni halali kwa mujibu wa mafundisho ya dini yako? Itikadi isikufanye umsaliti Mungu wako, aliyeuawa ni binadamu aliyeumbwa ili aishi na hakuna mtu aliyeruhusiwa na Mungu kutoa roho yake kwa nguvu.Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.