miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
wamelegea kama mlenda wanipitie mbaliWallet zao siku hizi zina business cards tuu. Twende mbele turudi nyuma wazee wako na chapaa ndefu kuliko vijana. Na wazee wanawazidi vijana sanaaa hata kwenye nguvu za kiume.
This is very true. Nilikua kwenye kitu kimoja cha kuziba Pancha nikawa nafanya tafiti ya wanaokwenda kuziba Pancha yaan ktk kituo kimoja vijana wa kiume 20 waliokuja 6 kati yao wanahitaj huduma ya kupigwa jeki.na hao ni kati ya miaka 25-40
Wakati watu wazima wa kuanzia miaka 45-60 kati ya sampuli 50 ni mmoja tu alihitaj kupigwa jeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutumia mantiki ili twende pamoja. Life is short, so what?.Life is short.Katika muda mfupi uliopewa hapa duniani unataki ufanye chocho kikupacho raha alimradi akiwakwazi wengine.Kama furaha yako ni kuvaa nguo kama za akina Pepe Kalle ni sawa ila waache na wenzio wafanye wanayopenda.
Ndugu mimi nitaendelea kuvaa nguo nitakayo ata kutembea na chupi naweza fanya hivyo.Kama hupendi wewe jinyonge tu ufe.Jaribu kutumia mantiki ili twende pamoja. Life is short, so what?.
Unaposema hakiwakwazi wengine, Je unafahamu fasili ya neno kukwaza/kuudhi?.
Pili sijakuambia furaha yangu ilipo, kwanini unanilisha maneno ambayo sikuyasema?.
Jifunze kuandika kwa unadhifu.
Karibu.
Extraordinary research kama hii umeifanya lini?. Fafanua kidogo.Miaka 50 ijayo hakutakuwa na nguo ya kike wala ya kiume. Maduka yatakuwa ni unisex..teh teh wanaume bwana!
Hakuna haja ya kufanya research ya makaratasi. Ukitembea tu utaona jinsi tunavyovaliana nguo na viatu.Extraordinary research kama hii umeifanya lini?. Fafanua kidogo.
Sijakukataza kuvaa nguo unayoipenda. N'nachokihitaji ni utetezi wa huo uvaaji wako kwa kutumia mantiki.Ndugu mimi nitaendelea kuvaa nguo nitakayo ata kutembea na chupi naweza fanya hivyo.Kama hupendi wewe jinyonge tu ufe.
Mjadala umeshafungwa.Na kwa sasa nimevaa nguo tajwa katika mada hii.Watu wajifunze kuvumiliana na kuheshimiana.Sijakukataza kuvaa nguo unayoipenda. N'nachokihitaji ni utetezi wa huo uvaaji wako kwa kutumia mantiki.
Usiponieleza nita-connect dots zangu na kufunga mjadala.
Upo msemo mmoja wa kirumi "Mens sana in corpore sano".Mjadala umeshafungwa.Na kwa sasa nimevaa nguo tajwa katika mada hii.Watu wajifunze kuvumiliana na kuheshimiana.
Maadili ya Kitanzania/Kiafrika kwa kweli inahitajika nguvu ya ziada kuyasimamia, hii ni aibu sana kwa Taifa.
Ni adhari za Globalization hizi!
Unafahamu fasili ya neno tafiti (research), etimolojia ya neno hili na kadhalika?.Hakuna haja ya kufanya research ya makaratasi
"Mens sana in corpore sano=physical exercise is an important or essential part of mental and psychological well-being".....sijaelewa shabaha yako ya msamiati huu ila nakupa poleza dhati kama una changamoto za afya ya akili.Nadhani umri umekutupa sana au ni mstaafu.Upo msemo mmoja wa kirumi "Mens sana in corpore sano".
Ahsante kwa ushirikiano. Nimejifunza.
Sasa wewe unakuja kielimu elimu. Mimi nimefanya utafiti usio rasmi na unaonekana kwa macho sio lazima nifate process za kufanya research. You just wait and see...ina maana huoni vijana wanavyovaa siku hizi?Unafahamu fasili ya neno tafiti (research), etimolojia ya neno hili na kadhalika?.
Tuanzie hapa kwanza.
Tatizo ni Elimu.hawa wanamuziki wetu ndio nao wanacopy full
Kwani nae anavaa suruali za kubana??"Mens sana in corpore sano=physical exercise is an important or essential part of mental and psychological well-being".....sijaelewa shabaha yako ya msamiati huu ila nakupa poleza dhati kama una changamoto za afya ya akili.Nadhani umri umekutupa sana au ni mstaafu.
Rai yangu kwako bila kujali aina ya mavazi tuvaayo ni kuwa tuungane pamoja kumuombea Comrade Lissu.π
Sasa mbona watumia lugha iso na adabu?."Mens sana in corpore sano=physical exercise is an important or essential part of mental and psychological well-being".....sijaelewa shabaha yako ya msamiati huu ila nakupa poleza dhati kama una changamoto za afya ya akili.Nadhani umri umekutupa sana au ni mstaafu.
Rai yangu kwako bila kujali aina ya mavazi tuvaayo ni kuwa tuungane pamoja kumuombea Comrade Lissu.π
Lazima wizara inayohusika ifanye kazi yake ya kulinda tamaduni zetu za Kitanzania. kama wao wenyewe watoto wao wanavaa hovyo na wanaona sawa hiyo ni shida!
Kwanini urasimishe utafiti uso rasmi?.Mimi nimefanya utafiti usio rasmi na unaonekana kwa macho sio lazima nifate process za kufanya research. You just wait and see
hahahaha sawa baba!Sasa mbona watumia lugha iso na adabu?.
Tujadili kwa kuongozwa na mantiki. Nguvu ya hoja ndiyo msingi wa tafakuri na si hoja ya nguvu Mkuu.
Nashangaa sana n'napokutana na watu wanaofahamu umri wa watu humu Jamvini, majina yao pamoja na kazi zao. Umri umenitupa, una uhakika?.
Hekima ni Uhuru.
Kwasasa siwezi kufanya utafiti rasmi kutokana shughuli zangu itaniwia vigumu. Pia sina interest sana na mambo ya research labda nipate elimu kidogo. Nawaachia watu wa academics maana wapo kwenye position nzuri.Kwanini urasimishe utafiti uso rasmi?.
Unasemaje "Baada ya miaka 50 hakutokuwa na suruali ya kike wala ya kiume"?.