Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Hapana ,wamemthumu kumkosoa Rais.Kwani nae anavaa suruali za kubana??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ,wamemthumu kumkosoa Rais.Kwani nae anavaa suruali za kubana??
Nimekuelewa sana Dada...Miaka 50 ijayo hakutakuwa na nguo ya kike wala ya kiume. Maduka yatakuwa ni unisex..teh teh wanaume bwana!
Rais Obama katika ziara yake nchini Ghana, Accra mwaka 2009 alisema kuwa "Tatizo kubwa la nchi zetu za Afrika lipo katika Taasisi". Maendeleo ya Afrika yanaanza kukwama Ofisini.Lazima wizara inayohusika ifanye kazi yake ya kulinda tamaduni zetu za Kitanzania. kama wao wenyewe watoto wao wanavaa hovyo na wanaona sawa hiyo ni shida!
Nakumbuka wakati wa Hayati Mwalimu ilikuwa anayevaa nguo isiyofaa anasaidiwa kuwa uchi kwa kiwembe!
Ni hatari. Namuomba Mungu aniweke miaka 100 ijayo ili nishuhudie vituko vya dunia hii, mavazi, technology etcNimekuelewa sana Dada...
Comment of the day...
Huwa nawaza sana baada ya miaka100 dunia itakuaje....kma leo ni maruweruwe hv
Umeongea ukweliMiaka 50 ijayo hakutakuwa na nguo ya kike wala ya kiume. Maduka yatakuwa ni unisex..teh teh wanaume bwana!
Ni shida sana madukani siku hizi kupata nguo. kuna wakati nilitoa pesa ya kutosha kununua nguo, jeans, kadet, na za vitambaa. Niliambulia za vitambaa kidogo zinavalika. Jeans na Kadet zote kata K ^_^Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.
Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana miguu eti wanasema kamatia chini.
Ukija kwenye Tshirts ndio kabisa zinabana mwili na ziko juu juu kama top za kike, mashirt nayo hali kadhalika eti wanaita modal ila nimekuja kujua asilimia kubwa ya designer wa nguo a kiume ni mashoga na wanaweka trend zao na watu wanavaa wengine kwa kujua na wengine kwa kuto kujua.
Suit zinazoshonwa siku hizi Tanzania suruali unakuta fupi au suit na pensi, ili tu ionekane kike ndio fashion.
Nadhani tunakoelekea sisi wazee wa busara tutakosa nguo kabisa huko madukani huu ni mfano tu wa nguo hizo.
Kama una picha za nguo hizo weka hapa wadau waziepuke kwani ndio tunafundisha watoto wetu kwa muonekano wetu.
View attachment 573126
Nimekuelewa.Kwasasa siwezi kufanya utafiti rasmi kutokana shughuli zangu itaniwia vigumu
Nimekuelewa.Pia sina interest sana na mambo ya research
Elimu tena wakati umesema huwezi kufanya tafiti rasmi?. Sijakuelewa.labda nipate elimu kidogo
Siyo mpaka uwe kwenye ulikopaita academics ndipo ufanye tafiti rasmi. Kumradhi.Nawaachia watu wa academics maana wapo kwenye position nzuri
Una ushahidi wa uyaseamayo?. Kwa kweli ndiyo kitu gani?. Naomba huo ukweli.Kweli hakutakuwa na nguo ya kike au ya kiume tutakuwa tunavaa yoyote
I concur with you chief, mabadiliko yoyote huanza kwa mtu mmoja mmoja. Inabidi wahenga wenzangu tuungane ili kukomesha hili la mavazi yasiyo taswirisha tamaduni zetu.Rais Obama katika ziara yake nchini Ghana, Accra mwaka 2009 alisema kuwa "Tatizo kubwa la nchi zetu za Afrika lipo katika Taasisi". Maendeleo ya Afrika yanaanza kukwama Ofisini.
Sipo mbali naye sana. Nilimuunga mkono. Kwanini, kwasababu tuna Wizara hewa kibao, tuna Ofisi za X-Y Consultant, Jamii kama taasisi na kadhalika. Ni uzembe! uzembe! uzembe. Hakuna anayeguswa na u-sisi hata kidogo. Sana sana tunaendeleza falsafa ya kila mtu na lwake.
Ukiwaona viongozi wa kifrika katika picha ya pamoja utashangaa sana. Ukikata vichwa vyao na kuulizwa "Hawa ni watu wa Taifa gani"?, bila shaka huwezi kudhania kuwa ni Mwafrika. Yaani hatuguswi kabisa kuutangaza utamaduni wetu kupitia mavazi. Rais Ghadaffi (R.I.P) ambaye nasaba zake zilikuwa karibu na waarabu alikuwa akitangaza utamaduni wa Afrika kupitia mavazi kuliko sie weusi. Tatizo ni nini?, Utumwa Mamboleo.
Ipo haja ya Jamii nzima ya Watanzania kukaa chini na kuja na Objective truth ya jinsi ya kuondokana na Utumwa huu. Tumekosa Utamaduni uhuru kabisa. Tunavaa ujinga halafu tunajiona sahihi.
Haiwezekani kila mtu akawa mjenzi wa maadili katika Jamii. Sote tukae chini na tuje na Majibu ya jinsi jamii ya Kitanzania inapaswa kuwa. Kuwaachia wanasaisa hili suala si sahihi hata kidogo.
Mbona Korea kaskazini wameweza?, mbona China wameweza?. Canada na kadhalika?.
Hekima Ni uhuru.
Pamoja sana Mkuu Kishoka2 .I concur with you chief, mabadiliko yoyote huanza kwa mtu mmoja mmoja. Inabidi wahenga wenzangu tuungane ili kukomesha hili la mavazi yasiyo taswirisha tamaduni zetu.
Duh umeniganda na maswali...naomba poo! Ha haa... Huo ni mtazamo wangu tu mkuu kwa jinsi ninavyoona hali ilivyo.Nimekuelewa.
Nimekuelewa.
Elimu tena wakati umesema huwezi kufanya tafiti rasmi?. Sijakuelewa.
Siyo mpaka uwe kwenye ulikopaita academics ndipo ufanye tafiti rasmi. Kumradhi.
Una ushahidi wa uyaseamayo?. Kwa kweli ndiyo kitu gani?. Naomba huo ukweli.
Nikivaa kama huyo jamaa kwa picha hata nje sitoki![]()
Usemayo ni kweli sasa mwanaume rijali anavaa hivi ndo nini nmaana yake?!
Mkuu umenena, hivi inakuwaje Mwanamume uvae nguo inayobana makalio kama ke?Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.
Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana miguu eti wanasema kamatia chini.
Ukija kwenye Tshirts ndio kabisa zinabana mwili na ziko juu juu kama top za kike, mashirt nayo hali kadhalika eti wanaita modal ila nimekuja kujua asilimia kubwa ya designer wa nguo a kiume ni mashoga na wanaweka trend zao na watu wanavaa wengine kwa kujua na wengine kwa kuto kujua.
Suit zinazoshonwa siku hizi Tanzania suruali unakuta fupi au suit na pensi, ili tu ionekane kike ndio fashion.
Nadhani tunakoelekea sisi wazee wa busara tutakosa nguo kabisa huko madukani huu ni mfano tu wa nguo hizo.
Kama una picha za nguo hizo weka hapa wadau waziepuke kwani ndio tunafundisha watoto wetu kwa muonekano wetu.
View attachment 573126
Watu hawaioni hii hali lakini ni mbaya kuliko tunavyodhani.Umeongea ukweli
wanatia ukakasi hawa machok.....Usharobaro wa Kisenge tuu kuna siku nilienda kariakoo na mchiz wang nikaona jamaa anachagua kijinz kdogoo nikamuuliza oyaa hyo jinz unamchukulia Mtoto au Akaniambia ya kwake nilichoka kubabaake... nguo kuvua mpaka ukae ktandaniii..#&☆♤*&#
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh dunia simama nishukeView attachment 573148
wanaume wa siku hizi hawa
Ninamaana ambaye anajitambua hawezi kuvaa Nguo hizo ziashiriazo upuuzi.Fafanua kidogo Mkuu.
Ijisimamie katika muktadha upi?. Kumradhi.
Utavaa ndani tu?