miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo vikuu vya Kimagharibi navyo vinachochea sana ushoga maana mtu akihitimu anavalishwa gauni...Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.
Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana miguu eti wanasema kamatia chini.
Ukija kwenye Tshirts ndio kabisa zinabana mwili na ziko juu juu kama top za kike, mashirt nayo hali kadhalika eti wanaita modal ila nimekuja kujua asilimia kubwa ya designer wa nguo a kiume ni mashoga na wanaweka trend zao na watu wanavaa wengine kwa kujua na wengine kwa kuto kujua.
Suit zinazoshonwa siku hizi Tanzania suruali unakuta fupi au suit na pensi, ili tu ionekane kike ndio fashion.
Nadhani tunakoelekea sisi wazee wa busara tutakosa nguo kabisa huko madukani huu ni mfano tu wa nguo hizo.
Kama una picha za nguo hizo weka hapa wadau waziepuke kwani ndio tunafundisha watoto wetu kwa muonekano wetu.
View attachment 573126
Hakika
Ss unashangilia au unashauri?! Kuna tatizo kwenye kupigwa jeki?Wallet zao siku hizi zina business cards tuu. Twende mbele turudi nyuma wazee wako na chapaa ndefu kuliko vijana. Na wazee wanawazidi vijana sanaaa hata kwenye nguvu za kiume.
This is very true. Nilikua kwenye kitu kimoja cha kuziba Pancha nikawa nafanya tafiti ya wanaokwenda kuziba Pancha yaan ktk kituo kimoja vijana wa kiume 20 waliokuja 6 kati yao wanahitaj huduma ya kupigwa jeki.na hao ni kati ya miaka 25-40
Wakati watu wazima wa kuanzia miaka 45-60 kati ya sampuli 50 ni mmoja tu alihitaj kupigwa jeki
Sent using Jamii Forums mobile app
miss chagga.kuna mmoja nimemuona jana anakatako halafu kavaa jeans kachomekea yani jamaa alikuwa huku nyuma anatuacha hoi .. ila mwanaume kama natako achana na nguo za kubana na vichupa huwa mnatikisa nyuma sana
Aisee siku hizi vijana wa kiume wana changamoto sana, unaweza kukuta huo mbinuko wake unatumiwa na watu,Kama wewe mdada ulimtizama kwa jicho la tofauti maana yake kuna wanaomuangalia kwa tamaa mbaya, si ajabu na yeye amevaa kama utambulisho au kivutio.ha haha yule wajana nilimuangalia pale itv sikummaliza sababu yani kabinuka .. hadi nikatamani nimbadilishe flat yangu anipe ule mbinuko
Niligeuza shingo nimfaidimiss chagga.
huyo jamaa ulimwona kwa kuangalia mbele au uligeuza shingo kuangalia nyuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kwa100%.Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.
Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana miguu eti wanasema kamatia chini.
Ukija kwenye Tshirts ndio kabisa zinabana mwili na ziko juu juu kama top za kike, mashirt nayo hali kadhalika eti wanaita modal ila nimekuja kujua asilimia kubwa ya designer wa nguo a kiume ni mashoga na wanaweka trend zao na watu wanavaa wengine kwa kujua na wengine kwa kuto kujua.
Suit zinazoshonwa siku hizi Tanzania suruali unakuta fupi au suit na pensi, ili tu ionekane kike ndio fashion.
Nadhani tunakoelekea sisi wazee wa busara tutakosa nguo kabisa huko madukani huu ni mfano tu wa nguo hizo.
Kama una picha za nguo hizo weka hapa wadau waziepuke kwani ndio tunafundisha watoto wetu kwa muonekano wetu.
View attachment 573126
Dah!! Hi kitu inanikera sana mkuu.Uchoko huo kuvaa nguo za kipuuzi hizo, siku hizi hata jeans za kishoga tu ndio zimejaa madukani humo. Hadi cadet nazo et zinavutika