Raphael benjamini
Member
- Aug 4, 2017
- 46
- 33
Uyo sasa ndio shoga kabisaaaaView attachment 573148
wanaume wa siku hizi hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo sasa ndio shoga kabisaaaaView attachment 573148
wanaume wa siku hizi hawa
kwel mkuu sisi wazee busara mbelen uko tutakosa nguo kabisaNimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.
Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana miguu eti wanasema kamatia chini.
Ukija kwenye Tshirts ndio kabisa zinabana mwili na ziko juu juu kama top za kike, mashirt nayo hali kadhalika eti wanaita modal ila nimekuja kujua asilimia kubwa ya designer wa nguo a kiume ni mashoga na wanaweka trend zao na watu wanavaa wengine kwa kujua na wengine kwa kuto kujua.
Suit zinazoshonwa siku hizi Tanzania suruali unakuta fupi au suit na pensi, ili tu ionekane kike ndio fashion.
Nadhani tunakoelekea sisi wazee wa busara tutakosa nguo kabisa huko madukani huu ni mfano tu wa nguo hizo.
Kama una picha za nguo hizo weka hapa wadau waziepuke kwani ndio tunafundisha watoto wetu kwa muonekano wetu.
View attachment 573126
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu hyo mivao yote ni ya kisengerema bora m2 upitwe na fashion 2 kuliko ujnga kama huoNa hiki ndio haswa nilichokutana nacho dukani juzi kati..ubaya niliipenda cadet kuivaa ikawa hivyo...
Ha ha ha ha ha, i just imagined kuna mtu angekuja kuridhika nayo ndani ya huo muonekano!
Ofcourse sio kila fashion mtu uvae tu..Im very selective linapokuja swala la mavazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu hyo mivao yote ni ya kisengerema bora m2 upitwe na fashion 2 kuliko ujnga kama huo
Niliona picha kama sio video moja Rayvan amevalia koti au suti ya pinki na ameshikiria gitaa rangi ya pinki....itakuwa ni wewe na shati lako la pink
Kabisa umenena umkhulu wane.........ustawi wa jamii sijai wanafanya kazi gani hata siwaelewi nowdays maana hii ndio kazi yao haswaMob psychology and Technology pants!
Tuna matatizo mengi sana mleta mada. Si katika siasa, uchumi, ,mahusiano, imani, elimu, biashara nk. Ni ushabiki, unazi, umaamuma na kadhalika. Hatuthamini vyakula vya asili, nguo za asili, michezo ya asili, nyimbo za asili, ngozi za asili na kadhalika.
Jamii ya namna hii lazima itengeneza watu ambao kimsingi ni wa wa hovyo (kumradhi), wasiojiheshimu, washenzi, wajinga, waso na tafakuri za kina, wenye misimamo iso na mantiki na kadhalika.
Elimu ya kweli ni kujielewa, kuielewa jamii na kuuelewa ulimwengu. Usipoijua historia yako unakuwa sawa na mti usio na mizizi-Marcus Garvey (Yohana Mbatizaji wa watu weusi).
Huria si Holela. Suala la Mavazi limeshakuwa holela. Tunaingiza nguo za kipuuzi na serikali ipo kimya, tutegemee nani apige vita?. Ni lazima tuitahadharishe serikali juu ya intended consequences, lantent consequences na un intended consequences ya zoezi hili. Hili Taifa ni letu sote. Si la mtu mmoja mmoja kujiamulia juu ya muundo fulani wa maadili ambao ni sumu kwa Jamii ya Kitanzania.
Ni lazima utengenezwe muundo fulani wa maadili ambao utafuatwa na Jamii nzima. Hatukumbuzi kina sophist walipoiharibu ugiriki mpaka baadaye kina Socrates walipokaa chini na kuja na mfumo bora wa Jamii?. Kwanini si wafuasi wa kila mtu na lwake?.
Jamii na serikali kiujumla imekuwa iki react too slow and un professional katika masuala ya msingi. Hatufahamu kuwa huku ni sawa na kujichimbia kaburi?.
Ukienda kwa fundi nguo (Nb; si fundi cherehani) atakueleza jinsi suruali ya Mwanaume inavyopaswa kuwa. Plaizi si chini ya Inch 6, upana wa kutosha, mifuko ya kutosha nk. Si huu ujinga wa suruali za kubana za kike wanazovalishwa wavulana na kubatiza jina la model.
Hekiam Ni Uhuru.
hawataki kuelewa ila rangi la pink kwa mwanaume any not okey kabisaNiliona picha kama sio video moja Rayvan amevalia koti au suti ya pinki na ameshikiria gitaa rangi ya pinki....
Nilibishana na madogo nikawaambia kuna rangi ni za kike mwanaume ukivaa tafasiri yake una hali ya ushoga fulani.....
Walinibishia sana......nikawaonyesha na picha za jarida la playboy kuwa theme colour yao ni pinki ila wapi hawakuelewa nikasema ndio maana madogo wa kiume wa siku hizi kufanyiwa mambo sio huwa ni kawaida sana......
SONY Xperia Z5 Premium
Well saidMob psychology and Technology pants!
Tuna matatizo mengi sana mleta mada. Si katika siasa, uchumi, ,mahusiano, imani, elimu, biashara nk. Ni ushabiki, unazi, umaamuma na kadhalika. Hatuthamini vyakula vya asili, nguo za asili, michezo ya asili, nyimbo za asili, ngozi za asili na kadhalika.
Jamii ya namna hii lazima itengeneza watu ambao kimsingi ni wa wa hovyo (kumradhi), wasiojiheshimu, washenzi, wajinga, waso na tafakuri za kina, wenye misimamo iso na mantiki na kadhalika.
Elimu ya kweli ni kujielewa, kuielewa jamii na kuuelewa ulimwengu. Usipoijua historia yako unakuwa sawa na mti usio na mizizi-Marcus Garvey (Yohana Mbatizaji wa watu weusi).
Huria si Holela. Suala la Mavazi limeshakuwa holela. Tunaingiza nguo za kipuuzi na serikali ipo kimya, tutegemee nani apige vita?. Ni lazima tuitahadharishe serikali juu ya intended consequences, lantent consequences na un intended consequences ya zoezi hili. Hili Taifa ni letu sote. Si la mtu mmoja mmoja kujiamulia juu ya muundo fulani wa maadili ambao ni sumu kwa Jamii ya Kitanzania.
Ni lazima utengenezwe muundo fulani wa maadili ambao utafuatwa na Jamii nzima. Hatukumbuzi kina sophist walipoiharibu ugiriki mpaka baadaye kina Socrates walipokaa chini na kuja na mfumo bora wa Jamii?. Kwanini si wafuasi wa kila mtu na lwake?.
Jamii na serikali kiujumla imekuwa iki react too slow and un professional katika masuala ya msingi. Hatufahamu kuwa huku ni sawa na kujichimbia kaburi?.
Ukienda kwa fundi nguo (Nb; si fundi cherehani) atakueleza jinsi suruali ya Mwanaume inavyopaswa kuwa. Plaizi si chini ya Inch 6, upana wa kutosha, mifuko ya kutosha nk. Si huu ujinga wa suruali za kubana za kike wanazovalishwa wavulana na kubatiza jina la model.
Hekiam Ni Uhuru.
Unataka tuwaachie kina Nikki wa Pilli watujengee maadili ya kijamii siyo?.Kabisa umenena umkhulu wane.........ustawi wa jamii sijai wanafanya kazi gani hata siwaelewi nowdays maana hii ndio kazi yao haswa
SONY Xperia Z5 Premium
Watoto mchele mchele...kwny shoo viuno mbelembele...wanavaa nguo za dada zao -ney wa mitego![]()
Usemayo ni kweli sasa mwanaume rijali anavaa hivi ndo nini nmaana yake?!
Em fafanua mkuuWallet zao siku hizi zina business cards tuu. Twende mbele turudi nyuma wazee wako na chapaa ndefu kuliko vijana. Na wazee wanawazidi vijana sanaaa hata kwenye nguvu za kiume.
This is very true. Nilikua kwenye kitu kimoja cha kuziba Pancha nikawa nafanya tafiti ya wanaokwenda kuziba Pancha yaan ktk kituo kimoja vijana wa kiume 20 waliokuja 6 kati yao wanahitaj huduma ya kupigwa jeki.na hao ni kati ya miaka 25-40
Wakati watu wazima wa kuanzia miaka 45-60 kati ya sampuli 50 ni mmoja tu alihitaj kupigwa jeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenonitakua navaa nguo zetu za Hiphop kama miaka ya 90's sio saizi bana matako msichana mvulana wote wanafanana