Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

kwel mkuu sisi wazee busara mbelen uko tutakosa nguo kabisa
 
Na hiki ndio haswa nilichokutana nacho dukani juzi kati..ubaya niliipenda cadet kuivaa ikawa hivyo...
Ha ha ha ha ha, i just imagined kuna mtu angekuja kuridhika nayo ndani ya huo muonekano!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu hyo mivao yote ni ya kisengerema bora m2 upitwe na fashion 2 kuliko ujnga kama huo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu hyo mivao yote ni ya kisengerema bora m2 upitwe na fashion 2 kuliko ujnga kama huo
Ofcourse sio kila fashion mtu uvae tu..Im very selective linapokuja swala la mavazi
 
itakuwa ni wewe na shati lako la pink
Niliona picha kama sio video moja Rayvan amevalia koti au suti ya pinki na ameshikiria gitaa rangi ya pinki....

Nilibishana na madogo nikawaambia kuna rangi ni za kike mwanaume ukivaa tafasiri yake una hali ya ushoga fulani.....

Walinibishia sana......nikawaonyesha na picha za jarida la playboy kuwa theme colour yao ni pinki ila wapi hawakuelewa nikasema ndio maana madogo wa kiume wa siku hizi kufanyiwa mambo sio huwa ni kawaida sana......




SONY Xperia Z5 Premium
 
Kabisa umenena umkhulu wane.........ustawi wa jamii sijai wanafanya kazi gani hata siwaelewi nowdays maana hii ndio kazi yao haswa

SONY Xperia Z5 Premium
 
hawataki kuelewa ila rangi la pink kwa mwanaume any not okey kabisa
 
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa umenena umkhulu wane.........ustawi wa jamii sijai wanafanya kazi gani hata siwaelewi nowdays maana hii ndio kazi yao haswa

SONY Xperia Z5 Premium
Unataka tuwaachie kina Nikki wa Pilli watujengee maadili ya kijamii siyo?.

Hekima Ni Uhuru.
 
Em fafanua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…