Nguo za ndani unafua saa ngapi?

sina muda wa kufua chupi navaa ikichafuka sana naitupa nanunua nyingine
 
Sema watu wakisema wasukuma ni washamba,ni kweli aisee..kuna jamaa mmoja msukuma alikuwa aninishangaa,kisa nimevaa zile shorts za draft,..yeye alikuwa anapiga zile zinazobana za elastic..
 
Sky utaratibu wako ni mzuri ila ushauri wangu usipende kuanika ndani maana kuna uwezekano zikabaki na unyevu kwa muda mrefu na ukaja pata fungus.Kwa nyie watoto wa kike hakikisha inakauka kwa jua.
 
chupi zako nyeupe umesema unalowekea omo, je chupi zako nyeusi una utaratibu upi kwe kuzifua?
 
tatizo la chupi kwa Mwanaume ukishaanza kukua... Sehemu za siri zitaanza kutokezea pembeni.

nyie zinawatoshea vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
oouh.. wewe mjanja
Haha ila kwa wanaume si mshaur mtu avae chup kwanza zinajichora hasa kwenye suruali za vitambaa...unakuta mtu kavaa suti halaf akigeuka unaona vimistari vya chupi kwenye Mata*k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…