Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Mi nafua siku za weekend na naanika nje kwenye jua.....siishi kwa mtogole thou
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Kwa nini mkuu nyeupe huloweka kwa muda,kwani zina nini hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenifanya nimkumbuke mshikaji flani advance alikuwa ana chupi. Nadhani yeye ndo alikuwa ni mwanaume mwenye chupi shule nzima.
 
Uhii mm naloweka, nina kisado maalum kwaajil ya chupi, naloweka na sabuni kesho yake asubuhi bfr sijaoga nafua naanika, kama nipo home hiyo siku nitaanika nje.
Nipo bingwa wa kuloweka chupi. Nikiona nimefua uchafu hujatoka na nimechelewa, naisuuza na naweka maji upya na sabuni naloweka tena.
 
sijui nikuelezeje... chupi zinafunika tako.... na sehemu zetu siri zinakuwa ukikaa vibaya zitatokezea nje.

ila boxer inashuka hadi kwenye mapaja kidogo.

View attachment 805016

mimi sijui naonaje kuvaa chupi...kwanza uvaaji wake najiona wa kike kabisa. ukiwa unaivaa lazima uipandishe kwa kutingishatingisha mapaja ipande kama mwanamke na kuivuta vuta ikae vizuri.

ila boxer ni kasuruali kafupi. Chupi hapana kwangu.
Aha ah ah ah my ribs, watu mna maneno
 
Mimi nafua kila weekend. Alafu mara nyingi sivai maana zinanichosha tu nikivaa haijulikani kama nmevaa au nisipovaa haijulikani kama sijavaa. Hapa kwenyewe vitu vipo nje saaaafiii vinapunga hewa.
 
Mimi nafua kila weekend. Alafu mara nyingi sivai maana zinanichosha tu nikivaa haijulikani kama nmevaa au nisipovaa haijulikani kama sijavaa. Hapa kwenyewe vitu vipo nje saaaafiii vinapunga hewa.
Hahahaa umenifurahisha
 
Uhii mm naloweka, nina kisado maalum kwaajil ya chupi, naloweka na sabuni kesho yake asubuhi bfr sijaoga nafua naanika, kama nipo home hiyo siku nitaanika nje.
Nipo bingwa wa kuloweka chupi. Nikiona nimefua uchafu hujatoka na nimechelewa, naisuuza na naweka maji upya na sabuni naloweka tena.
Kwa nini uiloweke
 
Back
Top Bottom