Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Kwanza ukivaa sijui mtu unajisikiaje [emoji3][emoji3].

Mimi nimezoea kuiona kwenye misabwanda tuu bhana..
ndiyo maana nikawa najiuliza hivi unapovaa chupi imefika mapajani unajihisije kweli!
 
Haha ila kwa wanaume si mshaur mtu avae chup kwanza zinajichora hasa kwenye suruali za vitambaa...unakuta mtu kavaa suti halaf akigeuka unaona vimistari vya chupi kwenye Mata*k
duuh.... na kwenye kuivaa...

unajua udumbukizaji wa chupi ni tofauti na wa boxer. chupi inahitaji ujitwisttwist kidogo izame...

sasa sipatii picha Mwanaume akiwa anafanya hivyo.
 
duuh.... na kwenye kuivaa...

unajua udumbukizaji wa chupi ni tofauti na wa boxer. chupi inahitaji ujitwisttwist kidogo izame...

sasa sipatii picha Mwanaume akiwa anafanya hivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa kutokuvaa chupi kunafaida lukuki
Huwezi amini
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Vyupi inapaswa vianikwe juani vikauke kwa jua na kupigwa pasi[emoji1]
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
ndo mana mnaugua sana UTI,anika chupi juani inasaidia kuua bacteria
 
hahaha
nakumbuka niliwahi kusahau chupi ugenini baada ya kulazimishwa kuvaa hyo
 
Mimi huwa nafuliwa na bae wangu.... Labda kama kwenye period ndo namsaidia
 
Mimi nafua kila jmosi naloweka na aerial then naanika nje kwenye jua
 
Siku hizi jinsi chadema inavyochanganyikiwa nawe unazidi kuchanganyikiwa zaidi. Uzi zako zinaakisi kilichojaa kichwani mwako.
Nilikuwaga nakuheshimu kwa nyuzi na comments za kisomi ila nikiona nyuzi zako humu nakaa na kujiuliza nini kimetokea.
Samahani, nimeona niseme tu maana hali inazidi kuwa mbaya.
 
Anafuaje kwa mashine au una mchuchumaisha anazifua?
Ata sijui anavyofua mii nazikuta tu zishafuliwa na kazianika bafuni sasa kwangu kuzitoa nje zipigwe na jua
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.

nakumbuka tangu nikiwa mdogo enzi hizo chupi na hata nilipoanza kukua kipindi cha sec na chuo mama angu na baba angu walikuwa ikitokea wakiingia katika bafu letu au chumbani akikuta umeanika chupi au boxer ugomvi wake sio wakitoto

point yao ilikuwa utaanikaje nguo ya ndani sehemu isiyo na jua au hujui hapo hata ikikauka itakuwa na bacteria kibao na hauipigi pasi

basi mimi hata siku moja huwezi kuta ninaanika boxer ndani.. huwa nafua kwa pamoja weekends na kuanika nje zinakauka vizuri kwa kupigwa na jua na bila kuwa na unyevu wala uvundo

asanten wazazi kwa desturi mliyoipandikiza kwangu nami nitaiendeleza kwa kizazi changu

marufuku kuanika boxer ndani
 
Mwanamke inatakiwa ufue chupi unapoaga kuroeka au kurundika ni uchafu
 
Back
Top Bottom