Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Mi nafua siku za weekend na naanika nje kwenye jua.....siishi kwa mtogole thou
 
Kwa nini mkuu nyeupe huloweka kwa muda,kwani zina nini hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenifanya nimkumbuke mshikaji flani advance alikuwa ana chupi. Nadhani yeye ndo alikuwa ni mwanaume mwenye chupi shule nzima.
 
Uhii mm naloweka, nina kisado maalum kwaajil ya chupi, naloweka na sabuni kesho yake asubuhi bfr sijaoga nafua naanika, kama nipo home hiyo siku nitaanika nje.
Nipo bingwa wa kuloweka chupi. Nikiona nimefua uchafu hujatoka na nimechelewa, naisuuza na naweka maji upya na sabuni naloweka tena.
 
Aha ah ah ah my ribs, watu mna maneno
 
Mimi nafua kila weekend. Alafu mara nyingi sivai maana zinanichosha tu nikivaa haijulikani kama nmevaa au nisipovaa haijulikani kama sijavaa. Hapa kwenyewe vitu vipo nje saaaafiii vinapunga hewa.
 
Mimi nafua kila weekend. Alafu mara nyingi sivai maana zinanichosha tu nikivaa haijulikani kama nmevaa au nisipovaa haijulikani kama sijavaa. Hapa kwenyewe vitu vipo nje saaaafiii vinapunga hewa.
Hahahaa umenifurahisha
 
Kwa nini uiloweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…