Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.
Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm. Ilifikia mahali wakajisahau na kumshangilia kwa kibwagizo cha ccm.
Kama una muda msikilize huyu mchambuzi makini wa siasa za Tanzania hapo chini.
View: https://youtube.com/watch?v=NU3b3IYQjhk&si=BOhK2JWMuwWTZ0kl