Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

Mkutano wake haukufuata taratibu za chama chake, sasa utegemee nini? Mamuluki kutoka ccm waliingia ukumbini kirahisi. Hata kwenye sherehe hususani za harusi wazamiaji wataingia kwa wingi ukumbini kama kamati ya sherehe haikuweka utaratibu madhubuti wa mtu kuingia ukumbini. Hivyo ndivyo ilikuwa kwenye huo mkutano wa Lissu. Ukiwa na sare ya chama unaingia. Ukisalimu kwa piiiiiipoz, unaingia.

hivi ni nani aligharamia huu mkutano
 
Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.

Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm. Ilifikia mahali wakajisahau na kumshangilia kwa kibwagizo cha ccm.

Kama una muda msikilize huyu mchambuzi makini wa siasa za Tanzania hapo chini.

View: https://youtube.com/watch?v=NU3b3IYQjhk&si=BOhK2JWMuwWTZ0kl

Kwani Ngurumo siyo CCM aka chawa fichi?
 
Lowassa (RIP) aliwahi kusema CCM oyee! Mbowe akamkumbusha akamwambia sema peopleeeeeeees!
 
Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.

Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm. Ilifikia mahali wakajisahau na kumshangilia kwa kibwagizo cha ccm.

Kama una muda msikilize huyu mchambuzi makini wa siasa za Tanzania hapo chini.

View: https://youtube.com/watch?v=NU3b3IYQjhk&si=BOhK2JWMuwWTZ0kl

Wamezoea kunufaika na Do Nothing Mbowe
Sasa maslahi yao yapo shakani endapo Tanzania itakombolewa kweli
 
Kwenye hii nyumba ya Vita ya Kuishi Uhamishoni kwenye nchi yoyote ya Ulaya naomba niibe/nichukue pasi tu

Tumegawana vizuri majukumu

download.jpg
 
Kwenye hii nyumba ya Vita ya Kuishi Uhamishoni kwenye nchi yoyote ya Ulaya naomba niibe/nichukue pasi tu

Tumegawana vizuri majukumu

download.jpg
 
Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.

Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm. Ilifikia mahali wakajisahau na kumshangilia kwa kibwagizo cha ccm.

Kama una muda msikilize huyu mchambuzi makini wa siasa za Tanzania hapo chini.

View: https://youtube.com/watch?v=NU3b3IYQjhk&si=BOhK2JWMuwWTZ0kl

Mkuu una maanisha mkutano wa Mbowe ndio wanachama wa CCM hawahudhurii ila kwenye mkutano wa kiongozi mwingine tofauti na Mbowe wahudhuriaji wote wanakuwa ni wanachama wa CCM???

What an irony??!

Mkuu Mbowe ndiye amekaa na wanachama na viongozi wa CCM hadharani mara nyingi!!!

Mbowe ndiye aliyeruhusu Mwenyekiti wa CCM kushiriki na kuhutubia mkutano wa wanawake wa Chadema!!

Tuwe wakweli, Mbowe is so much compromised!!
 
Katika mkutano wa hivi karibuni wa Tundu Lissu, kilichokuwa kikitekelezwa, hali ilionekana kuwa tofauti na alivyotarajia.

Takriban asilimia 90 ya waliohudhuria walikuwa ni wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao walivaa sare za CHADEMA kwa lengo la kuonyesha upinzani. Hali hii ilileta mchanganyiko wa hisia na maswali kuhusu uhalisia wa ushirikiano wa kisiasa nchini Tanzania.

Lissu, ambaye ni kiongozi wa CHADEMA na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa, alikumbana na changamoto kubwa katika mkutano huo. Wakati alijaribu kuwasilisha sera na mipango ya chama chake, alikosa msaada wa kweli kutoka kwa wapiga kura wa CHADEMA. Hali hii ilisababisha wasiwasi miongoni mwa wafuasi wake kuhusu uwezo wake wa kuongoza chama katika uchaguzi ujao.

Kukosekana kwa uungwaji mkono halisi kulionyesha wazi kuwa Lissu anahitaji kujenga upya uhusiano wake na wanachama wa CHADEMA. Ikiwa atashindwa kupata wafuasi wa kutosha katika uchaguzi ujao wa mwenyekiti wa taifa, kuna uwezekano mkubwa kwamba atajikuta akikimbilia Ubelgiji, nchi ambayo amekuwa akihusishwa nayo kutokana na hali yake ya kisiasa nchini.

Lissu alifahamika kuwa ni kiongozi shupavu katika siasa za upinzani, lakini kukosekana kwake katika nafasi ya uongozi kunaweza kumaanisha mwisho wa siasa zake za upinzani nchini Tanzania. Kama atashindwa kuimarisha chama chake na kupata uungwaji mkono wa kweli kutoka kwa wanachama, itakuwa vigumu kwake kuendelea na harakati za kisiasa.

Katika mazingira haya, ni muhimu kwa Lissu kuchambua mikakati yake ya kisiasa na kutafuta njia bora za kuwasiliana na wapiga kura. Usimamizi mzuri wa chama, pamoja na kujenga uhusiano wa karibu na wanachama, ni mambo muhimu yatakayomsaidia kuweza kuendelea kushiriki katika siasa za upinzani. Aidha, ni muhimu kwa Lissu kuzingatia fikra na maoni ya wanachama wake ili kujenga chama chenye nguvu na chenye mvuto kwa wapiga kura.

Uchaguzi ujao wa mwenyekiti wa taifa ni fursa muhimu kwa Lissu kuthibitisha uwezo wake kama kiongozi. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi huo, ni wazi kuwa itakuwa ni pigo kubwa kwa siasa zake na kuashiria mwisho wa mtindo wake wa kisiasa. Wakati huu, ni muhimu kwa Lissu kuzingatia siasa za ndani na nje ya chama, ili kuweza kujenga mkakati wa kushinda.

Mkutano huu umeonyesha haja ya kuwa na mazungumzo ya kina ndani ya CHADEMA, ili kuelewa mahitaji na matarajio ya wanachama. Hali hii inaweza kusaidia katika kujenga mvuto wa kisiasa na kuimarisha uhusiano kati ya viongozi na wanachama wa chama. Kwa kufanya hivyo, Lissu anaweza kujenga mazingira bora ya ushindi katika uchaguzi ujao.

Kwa ujumla, mkutano wa Lissu umeibua maswali mengi kuhusu mustakabali wa siasa za upinzani nchini Tanzania. Ikiwa Lissu atashindwa kujiimarisha na kujenga uhusiano mzuri na wanachama wa CHADEMA, kuna uwezekano kuwa atajikuta akikimbilia Ubelgiji, ambayo itakuwa pigo kwa harakati za upinzani nchini. Kwa hivyo, ni muhimu kwa Lissu kuchukua hatua madhubuti katika kipindi hiki cha mpito, ili kuweza kuendelea kuwa na sauti katika siasa za Tanzania.
 
Hao wajumbe wa mkutano wa kuchagua mwenyekiti kama wana AKILI watamchagua Lissu, ila kama hawana wataendelea kutuletea Mbowe!.
Wajitafakari, Mbowe hana jipya tena.
 
Chama ni nani? Wewe na Lissu na hao wachache ndiyo mnajiita chama? Kwa taarifa yako wenye kuamua hilo unalolitaka ni mkutano mkuu wa chama.
Mkutano mkuu waamue kwa manufaa ya sisi tulioko huku mtaani. Vinginevyo chama kitabaki huko huko makao makuu mjichanganye muone.
 
Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.

Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm. Ilifikia mahali wakajisahau na kumshangilia kwa kibwagizo cha ccm.

Kama una muda msikilize huyu mchambuzi makini wa siasa za Tanzania hapo chini.

View: https://youtube.com/watch?v=NU3b3IYQjhk&si=BOhK2JWMuwWTZ0kl

Kwani wahudhuriaji watu wamesimuliwa au wamewaona? Wale mbona wanajulikana ni CDM?
 
Mimi sio mwanachama wa hivyo vyama. Ila Lissu apewe nafasi, kati ya wapinzani wa kweli wa CCM huwezi kuacha kumtaja Lissu.
 
Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.

Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm. Ilifikia mahali wakajisahau na kumshangilia kwa kibwagizo cha ccm.

Kama una muda msikilize huyu mchambuzi makini wa siasa za Tanzania hapo chini.

View: https://youtube.com/watch?v=NU3b3IYQjhk&si=BOhK2JWMuwWTZ0kl

Ngurumo hawezi kuipenda Chadema kuliko anayeishi na risasi mwilini mwake Kwa ajili ya Chadema.
 
Hata kama walikuwepo NIA imetangazwa haijatangazwa?
Kwamba uwepo wa wanachama wa ccm ndio umezuia kusikika kwa nia ya mh. TL kwa wanachadema?
Cha msingi ni kuwa makini CCM wasije kuingilia kati mtizamo wa Lisu wa kuleta mabadiliko kwa wananchi.
 
Kwani wahudhuriaji watu wamesimuliwa au wamewaona? Wale mbona wanajulikana ni CDM?
Siasa za nchi hii ngumu sana. Wanaweza wakawa CDM lakini pandikizi!! Chama hakina intelijensia ya kujua wananchama halisi na pandikizi!
 
Back
Top Bottom