Ngurumo amtahadhariha Lissu na sifa za wapambe (wabangaizaji), atolea mifano ya Mrema, Kikwete na Magufuli. Tusitishane, tuvumiliane

Mbowe ana ndoto ya kutimiza, Mbowe hajafikisha miaka 68.

Boni Yai anasema Mbowe amewanufaisha, wamesomesha watoto wao kupitia Mbowe, wametembelea Prado kupitia Mbowe halafu anakuja mtu kama TAL anabwabwaja kuwa Mbowe ni mwizi na anashirikiana na CCM.

Haya ndio matusi na kashfa?? Sasa mbona zimetolewa na team Mbowe na sio upande wa Lissu??

Halima Mdee alisema kuhusu ubunge wao aulizwe Mwenyekiti, na mpaka keshokutwa Mbowe hajajibu swali hilo la Mdee na wala hakutaka kusikiliza Rufaa za kina Mdee.

Hizi si ndio kashfa za wazi kabisa kwa Mbowe lakini hazikuibuliwa na Lissu bali na team Mbowe wenyewe
 
Leta ushahidi kukanusha uongo huu wa Antipasu. Ila Kuna moja alitaka kuichomekea Ndugu Antipasu Ile ya watu kupoteza...ilikuwa hatari sana!
 
Umeumbuka.
Jisitiri
 
Humu nawaona wapo zaidi ya wanne, kazi yao ni kuandika nyuzi za kumtabiria Lissu kushindwa na kumbeza kwamba ni WA shamba

Lakini huyo huyo wa shamba ndiyo kamshinda mtoto wa Mjini kupitia sanduku la Kura
Ushindi wa Lisu umewauma zaidi CCM .. na safari hii tena Lake Zone inarudi mikononi mwa CHADEMA..
 
1. Mimi siyo Mbowe
2. One of the greatest politician I have ever admired was Lisu, MY FAVORITE POLITICIAN
3. Deliberately, Lisu misled the public that Mbowe is a criminal, a thief, a liar, a traitor by visiting Sami after detention for 8 months, and a staunchly corrupt man /chairman by accepting bribes from Abdul..CHARACTER ASSASSINATION ILI UPATE CHEO
4. MBOWE was playing tricks to be awarded Nusu Mkate, etc etc AMEKIUZA CHAMA KWA CCM
5. Mimi siyo Mbowe, Mbowe anaweza kuwa rafiki tena wa Lisu au bado ni marafiki, family friend wa Lisu...haya ni mawazo yangu. Mbowe na Lisu wafanye maridhiano, sina shida na hilo na sina uwezo wa kuliingilia. Mimi ni onlooker giving my views

ALL THIS, VIVIDLY LISU KNEW WAS NOT TRUE. MTU HUYO LEO AWE KIONGOZI AT THE TOP? SIWEZI KUMFUATA

TO ME, SIWEZI KUMSAMEHE! LET IT BE SO! AU ...NITAMSAMEHE WITH CAUTION, VERY GREAT CAUTION.

Yote tisa, ....................KUMI : Hayo ni ya kwangu, Mbowe hayuko hivyo! nadhani kwao yameisha
 
Ujumbe mzuri ila hapo unaposema walikua hawataki chama kiongozwe na wakuja ni kina nani?
Hao wakuja ni kina nani?
CHADEMA ni ya watanzania wote, hivyo tukianza kuweka matabaka hatutaweza kufika popote.

Lisu ni mtu sahihi kwa sasa kuonesha mwelekeo sahihi wa CHADEMA na akaaminika. Mbowe alinishangaza sana kutaka kuendelea kuwa mwenyekiti wakati akijua kabisa watanzania wanamtaka nani
 
Hebu tuwekee hizo tuhuma Lissu alizitoa wapi na lini ukiweka Kwa mfuatano siku na tarehe.
 
Hebu tuwekee hizo tuhuma Lissu alizitoa wapi na lini ukiweka Kwa mfuatano siku na tarehe.
why all that trouble? Unajua fika aliyoyasema. IT WAS NOT A SECRET....Sina time ya hayo
 

Attachments

  • LISU NA UDHALILISHAJI KWA MBOWE.mp4
    18.2 MB
Mkuu hujaona nyakati za Kampeni Kuna watu humu walikuwa wakiandika kwamba Lissu ni wakuja, na Mbowe ni mtoto wa Mjini

Kwahiyo Chama hakiwezi kuchukuliwa na Wakuja (Lissu).

Kisha wakasema Lissu hana hela za kuendesha Chama kwani jamaa ni Mbangaizaji ๐Ÿ™Œ

All in all

Lissu ndiyo Mwenyekiti wa Chama, kwahiyo apewe ushirikiano ili Chama kisonge mbele kuelekea kuchukua dola
 
Ushindi wa Lisu umewauma zaidi CCM .. na safari hii tena Lake Zone inarudi mikononi mwa CHADEMA..
Hakika

Nimeona sehemu, Mwezi Juni baada ya Bunge kuvunjwa

Kuna Mheshimiwa mmoja wa Lake Zone anahamia Chadema akitokea upande wa pili

Baada ya hapo, jamaa wanaweka Kambi kuchukua majimbo ya kutosha kule Kanda ya Ziwa
 
Hao ndio wale wachumia tumbo. Huwezi enda nao vitani lazima wakuchome hata kwa bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ