sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Mbowe ana ndoto ya kutimiza, Mbowe hajafikisha miaka 68.This is very much acknowledged! Na diyo maana Mboee hakuja! akijua fika kuwa siyo M/Kiti tena.
Allen Kilewella naomba unielewe. And I will stand for that! Sina tatizo na Lisu kushinda. Tatizo langu ni namna Lisu alivyoshinda! Akiwa mtu aliyetegemewa kuwa mfano bora kama alivyojitanabaisha huko nyuma.
Unawaaminisha wenzako prticularly Mbowe kuwa ni MWIZI WA FEDHA ZA JOIN THE CHAIN, KALAMBA ASALI TOKA KWA SAMIA, ANASHIRIKI NUSU MKATE KUUZA CHADEMA, MLA RUSHWA MKUBWA WA FEDHA ZA ABDUL... uongo WA character assassination halafu useme yameisha tusonge mbele>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> Fine, lazima history iandikwe matendo mabaya ya Lisu kwa Mbowe et al
Kashifa zote hizo, Leo useme kuwa uchaguzi umeisha tusonge mbele? Kma una akili timamu huwezi kukubali kuwa pamoja na mtu huyo. Nitajitenga naye milele
Boni Yai anasema Mbowe amewanufaisha, wamesomesha watoto wao kupitia Mbowe, wametembelea Prado kupitia Mbowe halafu anakuja mtu kama TAL anabwabwaja kuwa Mbowe ni mwizi na anashirikiana na CCM.
Haya ndio matusi na kashfa?? Sasa mbona zimetolewa na team Mbowe na sio upande wa Lissu??
Halima Mdee alisema kuhusu ubunge wao aulizwe Mwenyekiti, na mpaka keshokutwa Mbowe hajajibu swali hilo la Mdee na wala hakutaka kusikiliza Rufaa za kina Mdee.
Hizi si ndio kashfa za wazi kabisa kwa Mbowe lakini hazikuibuliwa na Lissu bali na team Mbowe wenyewe