Ngurumo amtahadhariha Lissu na sifa za wapambe (wabangaizaji), atolea mifano ya Mrema, Kikwete na Magufuli. Tusitishane, tuvumiliane

Ngurumo amtahadhariha Lissu na sifa za wapambe (wabangaizaji), atolea mifano ya Mrema, Kikwete na Magufuli. Tusitishane, tuvumiliane

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Amesema TUSITISHANE, TUVUMILIANE. TUEPUKE MACHAWA NA WAPAMBE NA WABANBAIZAJI.
 
Attachments

  • TUSITISHANE TUVUMILIANE.mp4
    38.1 MB
Amesema TUSITISHANE, TUVUMILIANE. TUEPUKE MACHAWA NA WAPAMBE NA WABANBAIZAJI.
Ngurumo alikuwa kiongozi wa Chadema kupitia Mbowe miaka ya nyuma na alikuwa mkurugenzi wa free Media akiwa mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima lillopata umaarufu kupitia wafuasi wa Chadema. Mbowe alipobadili gear angani na gazeti likaenda na maji. Mbaya zaidi taarifa za Lowassa kuingia Chadema zilikuwa zinavujishwa na gazeti la Tanzania Daima mapema kabla hata watu hawajawa na uelewa wa hiyo ishu. Mbowe na Ngurumo ni Dam Dam
 
Kuna watu bado hawataki kuamini kwamba Uchaguzi Mkuu wa Chadema Taifa umeisha, na ndugu Tundu Lissu kutokea Mkoa wa Singida ameshinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa.

Mkuu Retired na wenzio, chukulieni hiyo ni changamoto kwamba mliyetaka awe hajawa

Mpeni ushirikiano Mhe. Lissu ili atimize majukumu yake

Kuendelea kumwanzishia nyuzi humu kila kukicha mkionesha Chuki zenu za waziwazi inaleta picha kwamba, hamkuwa tayari Chama Kiongozwe na Wakuja/Washamba kama mnavyosema humu

Lakini ndiyo mshindi, na ndiye Mwenyekiti wenu hadi 2029 panapo majaaliwa
 
Wakati Shujaa yuko Mkwawa High school miye nilikuwa pale The Highlands sec school so aliniomba niwe Mshauri tu😀
Naijua hiyo Highlands Secondary School. Ipo jirani na Kleruu kabla hujavuka barabara kwenda Lugalo Sekondari. Ila kipindi hicho ilikuwa shule ya "vilaza" pamoja na Mwembetogwa Sekondari na siamini kama Mwamba Magufuli angeweza kutafuta "Mshauri" hapo!😀😀😀😀
 
Kuna watu bado hawataki kuamini kwamba Uchaguzi Mkuu wa Chadema Taifa umeisha, na ndugu Tundu Lissu kutokea Mkoa wa Singida ameshinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa.

Mkuu Retired na wenzio, chukulieni hiyo ni changamoto kwamba mliyetaka awe hajawa

Mpeni ushirikiano Mhe. Lissu ili atimize majukumu yake

Kuendelea kumwanzishia nyuzi humu kila kukicha mkionesha Chuki zenu za waziwazi inaleta picha kwamba, hamkuwa tayari Chama Kiongozwe na Wakuja/Washamba kama mnavyosema humu

Lakini ndiyo mshindi, na ndiye Mwenyekiti wenu hadi 2029 panapo majaaliwa
Huyu ni lizee linaitwa Lusungo ni majitu ya hovyo mno.
Inashangaza mtu unajiita mwanachama wa CHADEMA huku hutaki mabadiliko ni mambo ya kushangaza kidogo.
 
Huyu ni lizee linaitwa Lusungo ni majitu ya hovyo mno.
Inashangaza mtu unajiita mwanachama wa CHADEMA huku hutaki mabadiliko ni mambo ya kushangaza kidogo.
Tatizo, watu kama hao hawana tofauti na machawa ya ccm. Hawasikilizi wala hawazingatii maoni ya umma.

Mashabiki wa Chadema ni wengi kuliko wanachama, na wingi wa hao mashabiki ndo hukipa nguvu chama.

Awamu hii Mbowe angeshinda tena Cdm ingebaki jina tu kama CUF, TLP, NCCR, nk.

Kwa sasa umma unahitaji mabadiliko ambayo hayawezi kupatikana kupitia huyo Mbowe na washirika wake..

View: https://youtu.be/cJg8bwg2ZX8?si=-AfGqFqLD9l6UiWf
 
Huyu ni lizee linaitwa Lusungo ni majitu ya hovyo mno.
Inashangaza mtu unajiita mwanachama wa CHADEMA huku hutaki mabadiliko ni mambo ya kushangaza kidogo.
Humu nawaona wapo zaidi ya wanne, kazi yao ni kuandika nyuzi za kumtabiria Lissu kushindwa na kumbeza kwamba ni WA shamba

Lakini huyo huyo wa shamba ndiyo kamshinda mtoto wa Mjini kupitia sanduku la Kura
 
Kubali uchaguzi umeisha na Lissu ndiye mshindi na Mbowe siyo tena Mwenyekiti wa CHADEMA.
This is very much acknowledged! Na diyo maana Mbowe hakuja! akijua fika kuwa siyo M/Kiti tena.

Allen Kilewella naomba unielewe. And I will stand for that! Sina tatizo na Lisu kushinda. Tatizo langu ni namna Lisu alivyoshinda! Akiwa mtu aliyetegemewa kuwa mfano bora kama alivyojitanabaisha huko nyuma.

Unawaaminisha wenzako, UMMA wa watanzania na dunia kuwa paticularly Mbowe kuwa ni MWIZI WA FEDHA ZA JOIN THE CHAIN, KALAMBA ASALI TOKA KWA SAMIA, ANASHIRIKI NUSU MKATE KUUZA CHADEMA, MLA RUSHWA MKUBWA WA FEDHA ZA ABDUL... uongo WA character assassination halafu useme yameisha tusonge mbele>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> Fine, lazima history iandikwe matendo mabaya ya Lisu kwa Mbowe et al kwenye kampeini za uchaguzi

Kashifa zote hizo, Leo useme kuwa uchaguzi umeisha tusonge mbele? Kma una akili timamu huwezi kukubali kuwa pamoja na mtu huyo. Nitajitenga naye milele
 
Back
Top Bottom